Ila mwaka 2016 sitokaa niusahau kwenye kumbukumbu zangu

ni mwaka ambao hautokaa unitoke kichwani sababu binti niliyedumu kwa miaka mitano aliponikataa kwa sababu za kipuuzi.
namshukuru mungu alinipa busara nikajiongoza nikamwacha aende zake.
kwa kifupi binti alinisomesha namba haswa.
Unafikiri ungekuwa unamgegeda vizuri angekuacha? Jihakiki kabla ya kusema eti alitoa sababu za kipuuzi huenda alichokuambia sicho kilicho mkimbiza
 
ni mwaka ambao hautokaa unitoke kichwani sababu binti niliyedumu kwa miaka mitano aliponikataa kwa sababu za kipuuzi.
namshukuru mungu alinipa busara nikajiongoza nikamwacha aende zake.
kwa kifupi binti alinisomesha namba haswa.
pole mkuu huwezi jua mungu amekuepusha nini Haikuwa Rizki yako
 
Back
Top Bottom