Natafuta mke

Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
389
533
Wakuu Natafuta mke
Umri awe na miaka 25 kuendelea.
Elimu diploma na kuendelea.

Umri miaka 38.
Nimeajiliwa serikalini.

Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na amani nakuhitaji. Njoo mke wangu. Nitakupenda na kukijali.


Kama hauko serious please usije inbox.
 
Itakuwa ulikimbilia kuomba papuchi mkuu! ......sio bure, mambo mazuri hayataki haraka pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom