Mwaka unaisha, nimetembea na wanawake 50, asilimia 60% wake za watu.

MarchArmy

Senior Member
Aug 19, 2016
160
104
Habari wanaJukwaa Pendwa MMU.

Tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 katika takwimu zangu za kimahusiano nakamilisha Idadi ya wanawake 50 niliotoka nao kimapenzi huku wengi wao wakiwa ni wake za watu.

Katika mituko yote hiyo nimezingatia suala la kupima afya na nimefanikiwa kwa asilimia 100 % kwani kabla ya tendo nilizingatia sana pamoja na kutumia kinga.

Nimesikitika sana orodha yangu kuwepo na wake za watu wengi, hili jambo limenisikitisha mno na kunikatisha tamaa linapokuja suala la NDOA, naomba tuombeane mwaka mpya ujao wa 2017 Mungu akijalia ukawe ni mwaka wa mabadiliko kimahusiano na hata niweze kuoa kabisa kwani mahusiano kwa namna moja ama nyingine yamenirudisha nyuma, nimeweza kununua kiwanja, nimepeleka tofali za kujenga na mawe site ila nimekwama hata kujenga msingi. Inaumiza sana wakuu.

Nawatakia maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya 2017 sote tukasheherekee kwa amani.
 
Aina ya mtu kama wewe sijui inatokeaga wapi
 
Ningekua mods threads kama hizi nafutilia mbali na ban juu.
Au nakuset uki log in tu unajikuta upo jukwaa lile kule chini la wakubwa
Ban ya nini tena mkuu, teh teh, au shemeji anaweza kuwemo katika orodha, huwezi jua
 
Back
Top Bottom