Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,897
- 40,444
Habarini Wadau,
Najua hili ninalolieleza lilishajadiliwa hapa jamvini ila hakujawahi kupatikana jibu kamili na toshelezi.
Ni hivii nilikuwa nasikia tu kwa wanaume wenzangu kuhusu harufu kwa baadhi ya tupu za kike.
ILA wiki iliyopita nilikuwa na binti mwenye muonekano mzuri kweli na msafi sana wa nguo na ngozi yake (Namfahamu vizuri) ila kwa kule faragha tatizo lilikuwa kule kunako uke, kwakweli sio siri kulikuwa na harufu kali, mbaya na nzito sana.
-Nampenda sana na sijaweza kumuuliza chochote mpk leo, nikahisi labda alikuwa ni mgonjwa au ana fungus ila nlihisi nikimuuliza atachukia sana.
Hebu wanawake wasaidieni wenzenu katika suala hili
◆ "Jinsi ya kusafisha Uke? "
Wapo waliosema kuwa uke haupaswi kusafishwa kwa sabuni yoyote hasa medicated, kwahiyo huwa inajisafisha yenyewe kiasili
Wengine walipinga hilo
Nawasilisha.