Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 346
Abari zenu bandugu... heri ya mwaka mpya kwenu woote. Nilipenda kuwashirikisha haya labda naweza nikabahati. Namtafuta mwanamke yeyote ambae labda kachelewa kuolewa ao aliwai kuolewa akaachika. vigezo miaka kuanzia 25 awe tayari amejenga NYUMBA yake binafsi, awe nakazi nzuri, kaajiriwa ao amejiajiri, awena Mtoto 1, awena elimu isiopungia form4, awe mcha Mungu... uzuri wauso, shepu nzuri siangalii... Umri asizidi miaka 45 na mwisho kabisa awetayari kunizalia watoto zaidi yawa 2. mimi nimeajiriwa Vodacom Nina miaka 32, Nina Mtoto 1, kwayule ambae yupo tayari anaweza akani pm, ilituyajenge vizuri. Karibuni