Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Wakuu kwema,
Niko njia panda hapa mzazi mwenzangu anatokea Dar na anaelekea kwao mikoani huko kusalimia Sasa Mimi Niko mbali kabisa na mkoa anaoenda yeye lakini amedai atampitisha mwanangu nimuone na atalala kwangu siku mbili,
Nimegoma kabisa juu ya hili maana tayari huyu mzazi mwenzangu ni mke wa mtu nimemueleza aje na ntawachukulia hotel safi yeye na mtoto na ntaenda hapo hotelini kujumuika nao bado ameweka ngumu kuwa mtoto anatakiwa alale na babake na kafika mbali akidai kwanini nakosa mapenzi na mwanangu mpaka kapigia simu Dada zangu yani Wifi zake kuwajulisha hilli
kiukweli bado nasita kumkubalia maana kuna kipindi alikuja na mwisho wa yote tukaangukia dhambini tuligegedana , sasa sitaki hili litokee na niliumia mno kugegeda mke wa mwanaume mwezangu, Huyu mzazi mwezangu kaninyima raha kabisa nifanyeje wadau?