Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Wakuu mpo?
Nimekuwa India kikazi kwa muda wa miezi 2. Huko nilifanikiwa kuhudhuria harusi 3 za kitamaduni mjini Delhi. Kilichonishangaza ni kuwa maharusi walikuwa Watu Wa karibu sana.
Yupo aliyemwoa mtoto Wa shangaziye, mwingine mtoto Wa baba mkubwa na Mwisho mtoto Wa mama wa kambo(mamake masichana alifariki ndio babake akaoa mamake kijana)
Nilipoulizia waliniambia kuwa kawaida Mali yao inazunguka kwenye familia, haitoki nje.
Tena Hata wanandoa hawaulizwi idhini. Wapende wasipende wanaoana.
Hivi, ndoa inafaa kuangaliwa Mali au ni mapenzi. Na si hii ni dhambi?