Hata uwe mwanamke mzuri kiasi, mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana, kama una kiburi, lugha mbovu, majibu mabaya hakuna mwanaume...
1
MLANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake ilisikika ikinong’ona, ikiwa na kila dalili ya hofu na wasiwasi, ikisema, “Tafadhali nifungulie…...
mambo zenu wanajf,
Vina wengi huamini kwanba kukaa na hawala ni njia ya kujifunza tabia za m'me /m'mke au hudhani ndo maisha ya ndoa huwa hivyo wakati kumbe si kweli
Hiv kama kijana unawezaje...
Maajabu ya mambo haya,mara umfanyiapo binadamu mwenzako,marejeo yake kwa namna ya kipekee ni lazima.
Si lazima mtendewa ubaya alipize hapana,bali hutokea tu mtu mwingine akalitenda hili katika...
AINA YA MATESO; FAIDA NA HASARA
Nawashukuru walioungana nami kwenye ukurasa huu, nawaomba tumalizie somo letu kwa kuangalia vidokezo vichache vilivyosalia.
MATESO YA KUTETEA HAKI;
Siku zote...
Tofauti yetu na mbuzi (mnyama) siyo miguu
au manyoya bali kitu kingine kikubwa zaidi.
Kitu hiki kikubwa ndicho sisi sisi ni jinsi
tunavyofikiri kwa kufikiri kwetu tunakuwa kama
tulivyo ambao...
...HAPA NDO NASHINDWA KUWAELEWA WATANZANIA WENZANGU.. ETI KAVAMIA SHULE NA KUGONGA KENGELE; WANASHANGILIA. KAENDA KIJIWENI KUBRASH VIATU; WANASHANGILIA. AMEWATOSA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI...
Jamani wadada mtuambie siku ile ulipopewa mimba tena bado ukiwa shuleni na kale kaboifriend kako mtiti ulikuaje nyumbani? Hahaaaaa! Mtoto anaendeleaje? Vipi mtoto anaishi kwa nani saizi, kwa bibi...
habari wanajf leo ntaelezea namna ya kumdate mwanamke tajirir;yaani mwanamke mwenye mkwanja wa maana,yaani mwenye private jet,makampuni ya kutosha,magari ya maana na sura yenye mvuto
mwanamke kama...
1. Date for fun. Don't be serious about ut.
2. Let everything flow.
3. Don't be too demanding.
4. Lower your expectations.
5. Be open and straight forward.
Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out, kumpelekea vijazawadi, hela za matumizi n.k lakini yeye hana hata mpango huo.
Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna...
Hababi za muda huu,
Nimekua nikiangalia tamthilia ya siri za familia na kuona kwamba waigizaji wengi wa wakike katika tamthilia hii wamefungusha mizigo mizito (vyura) kitu ambacho kimekua ni...
Habari zenu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa...
Mwenzenu mwanzo nilikuwa na mpenzi wangu; tunaishi wote; alipozaa akawa anatumia uzazi wa mpango; huu wakati umekuwa mgumu sana kwangu maana siku zake za period zimekuwa hazieleweki; anaweza ingia...
Habari za wakati huu wanajf ....!
Niende Moja kwa moja kwenye point:-
Mimi ni kijana Nina miaka 20 pia Nina mpenzi tatizo:-mimi kwenye swala zima la sex sijawahi kuridhika je nina tatizo...
Mfano umetoka na mtu ambaye labda umevutiwa naye alafu unaagiza bia au spirits yoyote yeye anachukua juice au any non alcoholic stuff, or katika kupiga stori inaturn out hatumii mnatuona kama tuko...