Siku zote kwenye familia yangu, mimi na mke wangu hula sahani moja milo yote inayoandaliwa kifamilia na wengine hujipakulia kwenye sahani zao.
Sasa kila akija dada yake, mimi baba hupakuliwa...
Ukipitia thread nyingi za wanaotafuta wachumba/waume ama wake sifa kubwa inayotakiwa imekuwa ni "awe na degree" yaani kiwango cha elimu ya mtu ndo kimekuwa kigezo kikuu suala la upendo...
Habari za leo Alhamis wakuu,
Shost huyu si shost mpya ni yule shost yangu tunaefanya nae jogging, nimemfahamu mwaka wa pili huu, pamoja na hayo nilipo waona watoto wake wana weupe si wa kwetu wa...
Habari za jioni wapendwa,
Shost alinipitia kazini, tulikwenda Kariakoo kutafuta vifaa vidogo vidogo ikiwa ni pamoja na nguo mbili tatu kwa ajili ya dada wa kazi, niligundua shost anabadilisha...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu ila yupo mbali na mimi.
Ananiambia kuwa ameshawaza mara nyingi tu kuniacha ili abaki mwenyewe ila...
Natumai hamjambo wadau!
Napenda leo tujuzane zaidi kuhusu maana na tofauti ya neno Urafiki na Mazoea katika Mahusiano ya mtu na mtu au mme na mke.
Neno Urafiki humaanisha ukaribu wa kushirikiana...
Najua hii itaonekana tofauti..
Lakini hii imenitokea live, since nimeoa nazidi kumpenda mke wangu zaidi ya kipindi tulipokua wapenzi tu kabla ya ndoa. Kipindi hicho nilikua naweza kumchukulia poa...
Utah Mom Allegedly Locked 12-Year-Old Son in Bathroom For Over a Year and Starved Him: ‘Like a Horror Movie’
A Utah mom faces child abuse charges for allegedly locking her 12-year-old son in a...
Habari wana-JF,
I want you to share your expirience and your wisdom on this.
Nilikuwa na kazi nzuri tu, lakini boss(foreigner) alikuwa anazingua sana, so one day I decided to resign after...
Kimsingi nimepata msichana mzuri ndani ya wiki hii yaani j3 kitambo nimekamendea toka December sasa kajileta ofisini kwangu nikamwomba namba ya SIMU nikampa SIMU yangu nikashanga Mara ya kwanza...
Kumekuwa na wimbi la watu kupenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Utafiti unaonyesha kati ya wanawake 10 basi watatu wamewahi kuliwa 'Tigo' maarufu kama kupumuliwa kisogoni. Sasa najiuliza...
je kuna matatizo yoyote mtu anaweza kuyapata either wa kiume ama wa kike endapo akakaa mda mrefu sana pasipokuwa na mpenzi ama kufanya sex ili mradi kapevuka ( mfano akae moiaka miwili mpaka...
Baada ya kufiwa na mkewe mwaka jana, Askofu mkuu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Meru Mhe. Mhasham lsaack Akyoo (76) afunga pingu za maisha l tarehe 31/12/2016 Usa River.
Wazazi sote tunatambua jina analopewa mtoto mara tu anapozaliwa ndio zawadi yake ya kwanza kutoka kwa mzazi/wazazi wake. Je hadi sasa jina ulilompa mwanao kama zawadi yake ya kwanza lina akisi...
Wakuu habari leo kuna jambo nataka kushare na umma wa watanzania haswa hawa wanawake walioolewa
Dada ndani ya nyumba kwenye dressing table yako vikorokoro ni vingi na vina thamani kushinda hata...
Wakuu naombeni msaada
1)Nina ugonjwa wa kupenda, nikipenda napenda Kweli....Maajabu toka nimekuja dar 2014 sijawai kuwa na mpenzi.Kipindi hicho nilikua natongoza Wanawake wazuri lakini nilikua...
Maisha yamebadilika, nyakati zimebadilika ela za mchezo hazipo tena kila senti inakazi ya kufanya. Enyi wadada mliozoea mizinga jifungeni Mikanda mwafwaaa. Ile ya baby naomba unitumie elfu 30...