Exogenous Factor JF-Expert Member Nov 22, 2015 1,393 2,309 Jan 12, 2017 #6 Mm naona kama ka ukweli kama kapo hivi
ikhlas JF-Expert Member Jun 25, 2015 1,045 1,296 Jan 12, 2017 #7 Hapana mapenzi sio swimming pool bali mapenzi ni swimming suit,kila mtu ana ya kwake ,anapoivaa hawez kuwa nayo mwwngine,labda anaekuja achukue mtumba
Hapana mapenzi sio swimming pool bali mapenzi ni swimming suit,kila mtu ana ya kwake ,anapoivaa hawez kuwa nayo mwwngine,labda anaekuja achukue mtumba