Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijachanganyika sana na watu wa mataifa mengine hivyo sitaweza kuwaongelea hapa. Kwa kifupi sisi watanzania tuna urafiki wa kinafiki,tunampenda mtu au tunapendelea kuwa na urafiki na watu ambao...
36 Reactions
62 Replies
10K Views
Wadau habari za muda, Kama mada inavyoeleza ni sawa kumweleza mwenza wako idadi ya wapenzi uliowahi kuwa nao
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Mke wangu wa ndoa ana mimba pili ni miezi minne kwa sasa, ananiambia vitu ambavyo mimba ya kwanza havikuwepo hata kidogo, mosi anasema siyo kusema tu anaonesha wazi wazi kuwa ananichukia vibaya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani ni jambo jema na la kuvutia kupata zawadi kutoka kwa umpendaye. Mimi nilipopata zawadi ya ua Rose kutoka kwa shemeji yenu niliwehuka, wewe ni zawadi gani uliyopewa na mpenzi au mwenza wako...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
In my Poor Reseach nimeona kua many Woman 2nasuffer from a Lower Sex Drive,,..there can be many Causes dat contribute 2loss of Desire which include Illiness,,Injuries,,Stress,,Medication n...
0 Reactions
83 Replies
16K Views
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION MAKING IN CRITICAL ISSUES. Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la Kutupwa, analala mtaroni kila siku, anafikishwa nyumbani hajitambui kafikaje...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna rafiki yangu anaishi iringa alizaliwa bila kumjua baba yake, ila baada ya yeye kua mkubwa mama yake aka mwambia baba yake anaitwa Filbert Nathaniel TOWO. Sasa ombi lake anaomba kujua kua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi wakuu, Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA Tarehe...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Naona kila ukifunua kurasa za JM siku hizi kelele mno kwa ma hausi geli. Mara oooo, wanavunja ndoa za watu, mara wanakuwa ni marupu rupu ya mabwana mwenye nyumba, mara.... yaani hata hawapewi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Wadau salaam,kama tulivyoambiwa na mwalimu nyerere kuwa hakuna umaskini mbaya kama wa Ukabila!!sawa nakubaliana na mwalimu katika hilo ila linapokuja swala la Mahusiano ya kimapenzi na ndoa,basi...
8 Reactions
415 Replies
133K Views
Anza kusema HAPANA kwa vitu ambavyo vinakuzuia kufikia malengo na ndoto zako za maisha. Matendo yanayokupotezea muda wako, marafiki wabaya, watu ambao maisha yao yanaweza kukupeleka pabaya...
2 Reactions
1 Replies
874 Views
Closed
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Haya mapenzi ni kitu gani,yanawezakufikia hatua ya kuua watu,yakizidi uitwa mahaba nako wenye kuyaju wakasema 'mahaba Niue' Kuna mapenzi ya mwanamke na mwanaume,ata mwanamke akipigwa kiasi cha...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi ni kwanini wanaume wengi tunaaminishana kuwa:- ◆ 1) Hakuna mwanamke bikra kabisa miaka hii, eti wengine wanadiriki kusema wanazaliwa bila bikra. Daaah! ~ Inamaana...
2 Reactions
2 Replies
885 Views
Ingekuwa wewe ungefanyaje, umeoa mke mna watoto wawili sasa lakini kila siri ya ndani unaikuta kwa majike raki zake. Pia unagundua wife hataki ndugu yeyote awatembelee. Mkipata mgeni yeye amani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Juzi jumatano nilitoa mada hapa wenye kichwa USHAURI KWA MABINTI ikiwa na dhumuni la kuwaasa dada zetu kuwa na kauli nzuri kwa wanaume hasa pale wanapotongozwa na wanaume hao. Niliwashauri...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamke kiumbe wa ajabu sana. Katika familia yao Baba dokta, Mama mwalimu wa msingi, kaka yake mhasibu benki na yeye mwalimu wa sekondari. Sasa namshangaa huyu dada kila siku anataka hela za...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwanza nawasalimu wote, Kama mada inavyojieleza napenda kutoa ushauri huu kwa dada zetu. Ukiwa msichana kutongozwa ni jambo la heri ila si lazima kila anayekutongoza umkubalie, bali inatakiwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kipindi nikiwa likizo kijijini kwetu,nilikuwa na tabia ya kwenda matembezini vijiji vya jirani na mdogo wangu! Usafiri wetu mahili ilikuwa ni baiskeli ya phonex tuliyokuwa nayo hapo nyumbani! Kuna...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa wanaume wote! Ukitaka usisumbuke kabisa katika mahusiano, tafuta mwanamke uliyemzidi kuanzia 5 yrs na kuendelea! Wanawake hukua haraka sana kimwili na kiakili, hivyo ukiwa na mliyelingana...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom