Wanaume: Ni upuuzi kumchunga mpenzi ikiwa huwezi muhudumia

Ahudumiwe yeye mgonjwa?
wanaenda shule kufanya nini?

So baba zetu walipopunguzwa makazini walitakiwa kuacha mama zetu wakitembeze tu kisa hawawezi kuwahudumia?
Sasa apo inajulikana kua alikua anahudumia
Ila kapata matatizo
Sio kwa kusudi
 
Kwani sie wahudumu braza! Sikumbuki kusomea nursing in my lifetime!

Besides, statistics zinaonyesha wengi wanaosomea uhudumu ni wanawake.

Tafadhali niache na sitaki kuingilia professions za watu.
 
Back
Top Bottom