Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jamani wana jf nilikutana rafiki yangu mmoja alikuwa ananieleza yeye kwa miaka mingi kuna ndugu yake huyo kila akimuomba hela yeye huwa anajitahidi kumtumia hivo hivo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama picha inavyoeleza napenda kujua maoni yetu juu ya hili hata kama Uko kwenye mahusiano ya kimapenz ya kawaida najua kwa mwenye nia mwisho wa siku huelekea kwenye hii hatua labda...
1 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari wana jambo,, Kuna dada nampenda na yeye ananipenda sana, toka tuanze mahusiano ni mwaka mmoja sasa, tunaendelea kumuibia jamaa ambaye ni mwanajeshi huko mikoani. Mwanamke huyu...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Nishapata [emoji41][emoji41][emoji125][emoji125]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasalaam wana JF, Napenda kujua hili coz limenikuta nilikuwa na msichana wangu tulipendana sana but siku moja alinifuma ndipo akachukua uamuzi wa kuachana na mimi but awali nilimkuta na usichana...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kuna mtumishi mmoja wa idara moja hapa mbulu ameolewa na mume wake yuko Arusha mjini. Kwa ufupi ni malaya kupindukia hadi sisi watumishi wenzake tunaona aibu kwa anachokifanya kutokana na tabia...
1 Reactions
52 Replies
13K Views
Katika kupitapita kwangu kwenye vitabu nikaona kwenye list ya special group wanawake wamewekwa sasa nikajiuliza kwanini wamewekwa pale ikiwa karne hii kuna wanawake wasomi wengi. Basi ikabidi...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanamke kutongozwa unakataa after 2 days unaomba ukutane na kijana muongee umpe jibu unakuwa unapeleleza nini, uchumi, elimu, kazi au nini? Msaada wakubwa.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wana JF, [emoji113] Leo napenda nishare kitu na wanaume wenzangu kama nilivyosema hali si shwari kasi ya wanaopima mbegu za kiume (Semen Analysis) ni kubwa mno na wengi wanaopima majibu...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa huyu jamaa kwenye video hiyo hapo chini, anadai kuwa kutembea na housegirl ni sawa hata kwenye biblia Ibrahimu, Yakobo na Suleiman walitembea na vijakazi wao ambao ndio kama ma...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mwanafunzi mmoja wa Kimarekani amefanikiwa kukusanya zaidi ya $10,000 kwenye mtandao wa GoFundMe baada ya kudai kuwa wazazi wamemtelekeza kwa kuwa na boyfriend mweusi. Allie Dowdle amesema wazazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuuu,,,,, Mimi ni Mt umishi Wa serikalini naomba kwa anaejua anisaidie mahali pakukopa laki nne kwa riba taacha Laptop(PC) yangu .Ntailudisha tarehe kama hii mwezi ujao ...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nashindwa Kupata Jawabu Kama Mapenzi NI Hisia Za Mtu Binafsi Kwanini Vijana Wakianzisha Mahusiano Na Wanawake wakubwa Inakuwa Gumzo?:rolleyes::mad::mad: Lakini Vibabu Inakuwa Kawaida Tyuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki...
13 Reactions
116 Replies
15K Views
Daaaah kweli dunia ni sehemu ya kupita tu ww Cheka na watu utawasaidia kwa kila kitu ukiishishiwa wanakucheka?kuna Dada rafiki yng kipenzi ni mke wa mtu huyu Dada hakuna ambacho alikuwa hakosi...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Atengwa na wazazi kwa kumpenda kijana mweusi - BBC Swahili
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Kwa Msichana/Mwanamke yeyote alietayari basi aweke Coment yake hapa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wapendwa, Leo nitawapa kisa cha shost niliyesoma nae secondary zile enzi ugali na maharage na solution unachomvyea mkate, basi baada ya pale shost si kwao kidogo change ipo, first...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom