Je, kuna madhara mtiu kukaa mda mrefu pasipo kufanya mapenzi?

real thinker

Senior Member
Jun 24, 2012
118
30
je kuna matatizo yoyote mtu anaweza kuyapata either wa kiume ama wa kike endapo akakaa mda mrefu sana pasipokuwa na mpenzi ama kufanya sex ili mradi kapevuka ( mfano akae moiaka miwili mpaka mitatu) naombeni mawazo yenu wakuu wa idara maana kitaa kila mtu huewa anatoa assumption zake ambazo wakati mwingine hukinxzana zenyewe kwa zenyewe.

ustarabu wa ushike mkondo wake, karibuni wana jamvi.
 
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo
kupendelea sana kuangalia picha za uchi
Kusahausahau
Kupendelea story za mapenzi
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke)
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu)
Kuumwa na kichwa
Kukakamaa mgongo (wanaume)
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency)
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
 
nimekusoma mkuu pamoja sana
 
Hamna madhara mbona Adam na Eva walikaa muda mrefu kabla hawajadanganywa ili wamegane?

Kuna baadhi ya viongozi wa dini wana utaratibu wa kutooa na wako sawa kabisa.

Mkuu wa majeshi wa Marekani wa sasa hajawahi kuoa, kuolewa, kuwa na uhusiano wala kua na mtoto.

Bi. Condoleeza Rice wa Marekani hajawahi kuolewa wala kuzaa (obviusly hajawahi kumegana pia tangu miaka ya 90 or something) na alitumikia nafasi yake vizuri tu.
 
Mwanamke kukaa hata miaka mitatu naweza kukubali,

Ila kwa wanaume ni jambo gumu kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha Testosterone.

As a man you have two options,....it's either you masturbate or you fornicate.
 
Hamna madhara mbona Adam na Eva walikaa muda mrefu kabla hawajadanganywa ili wamegane?

Kuna baadhi ya viongozi wa dini wana utaratibu wa kutooa na wako sawa kabisa.

Mkuu wa majeshi wa Marekani wa sasa hajawahi kuoa, kuolewa, kuwa na uhusiano wala kua na mtoto.

Bi. Condoleeza Rice wa Marekani hajawahi kuolewa wala kuzaa (obviusly hajawahi kumegana pia tangu miaka ya 90 or something) na alitumikia nafasi yake vizuri tu.
okay sawa mkuu ahsante kwa mifano hai
 
hahahahhaa haya mkuu nimekusoma
 
Haina madhara ya moja kwa moja kama utakuwa ukifanya mazoezi ya mwili...Ila ukikaa miaka kama 3 ukija kuanza utakuwa learner kabisa kama vile hauna nguvu za kutosha kupeleka msukumo wa damu pande zile ila kadiri unavyozidi ku-practise situation itaendelea kuimarika..Na utarudi normal..
 
Na kwa nini ukae muda mrefu bila kung`atana? Yaani una uwezo wa kuchenga kabisa harafu ukae muda mrefu bila kuchenga au kuchengwa? Hiyo ni dhambi sana mkuu.kama wewe ni mwanaume na hujachenga muda mrefu basi utachengwa wewe
 
Haina madhara ya moja kwa moja kama utakuwa ukifanya mazoezi ya mwili...Ila ukikaa miaka kama 3 ukija kuanza utakuwa learner kabisa kama vile hauna nguvu za kutosha kupeleka msukumo wa damu pande zile ila kadiri unavyozidi ku-practise situation itaendelea kuimarika..Na utarudi normal..
Mkuu ile law ya use and disuse ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom