Enyi wadada wa Dar maisha yamebadilika mwenye masikio na asikie

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
378
962
Maisha yamebadilika, nyakati zimebadilika ela za mchezo hazipo tena kila senti inakazi ya kufanya. Enyi wadada mliozoea mizinga jifungeni Mikanda mwafwaaa. Ile ya baby naomba unitumie elfu 30 kwenye MPESA hizo
zama zimepita, hyo ela ukiihitaji itabidi uje uifanyie kazi haswa, itabidi ufue, Utandike kitanda, upike na game uperform Vizuri. Maisha ya ujanja ujanja yamepita nasema na mwenye masikio asikie
 
Wauza juice Mwanza mjini wameongezeka kwakasi sana najiuliza zamani walikuwaga wapi aundio maisha kubadilika.
 
Maisha hata yabadilike vp pesa za kuwapa wadada lazma zitakuwepo.
Si Tanzania ya sasa Tanzania ya sasa ni shika ushikacho mtu akipata 100,000/= anaipigia hesabu ya week nzima maana hajui lililo mbele yake...zamani saa hizi mtu yupo home anaangalia taarifa ya habari ila kichwani zinapita ramani za kupata hela kesho yake ila siku hizi mtu yupo nyumbani kwake anawaza kama maofisa TRA watakuja kesho hao wa serikali wanawaza “sijui kesho nitaletewa barua ya kutumbuliwa" alimradi hakuna mwenye amani.
 
Na wasikie enzi za kununuliwa magari, viwanja na kupangishiwa nyumba masaki sijui oysterbay zimepita
 
Binadamu tungefanana ingekera sana kuuishi huu ulimwengu. Saa mbili usiku kuna mtu anawaza kwanini apigwe mizinga na hali hairuhusu na anakosa nguvu za kumwambia mpiga mizinga kesi anaigawa kwa wadada wa JF.
Jiwe gizani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom