Maamuzi na Matokeo yake

Itoye93

Member
Dec 19, 2016
14
20
Habari wana-JF,

I want you to share your expirience and your wisdom on this.

Nilikuwa na kazi nzuri tu, lakini boss(foreigner) alikuwa anazingua sana, so one day I decided to resign after frustration ambazo zilikuwa haziishi day in day out.

Now months have gone by, bado sijapata ajira rasmi na hali iko tight si kama wakati niko na hiyo kazi.

I'm thinking if I made the right call.

Je, umewahi pitia situation kama hii?
 
Ndio nimepitia lakini ukiwa unaelekea katika hatua unatakiwa ujipange sio kukurupuka na kupiga chini....
 
Kuna wakati mwengine unatakiwa upige hesabu kambla ya matumizi,unajua kama hii kazi ndio inayonipa jeuri yakuweza kulipa kodi,chakula,na mahitaji yako yote iweje useme basi staki tena kazi? wanasema usi achie tawi kabla hujashika tawi, hakuna raha mda wote kazini,mimi DG wangu ni mwanamme ila kuna siku anakuja na mood mbaya mpaka unajiuliza hivi huyu bwana ni binadamu au mnyama? sababu nimesha msoma hua najaribu sanaa kua nae mbali akifanya party kwake siendi,sijui mikutano ile ya kulala mahotel siendi mpaka kuna siku akaniita akanambia ivi unajisikiaje mpaka nikikualika huwezi kuja? nikamwambia ingekua ipo kwenye mkataba wangu ningefata boss au ningekua free ningefata lakini ni haipo utanisamahe nna majukumu nyumbani,tangu siku hiyo hawaniuliza kwanini huji, anyway jitahidi upate kwengine lakini sikunyengine hakikisha umepata kazi kwengine ndio unawacha ulipo ajiriwa..
 
msimamo ni kila kitu kwenye maisha. without msimamo huta move ulipo.
 
Back
Top Bottom