Mwasango
Senior Member
- Aug 8, 2016
- 155
- 70
Kimsingi nimepata msichana mzuri ndani ya wiki hii yaani j3 kitambo nimekamendea toka December sasa kajileta ofisini kwangu nikamwomba namba ya SIMU nikampa SIMU yangu nikashanga Mara ya kwanza KUOMBA namba mwanamke akanipa na kuzisevu kabisa line zote.
Katoka pale tukaanza kuchati mpaka J4 ilikuwa tumeshapanga hadi kula tunda ikashindikana Jumanne, Jumatano, Alhamis, Ijumaa leo ilikuwa nikale mzigo, mpaka mchana nimemwita tumeongea fresh.
Kufika saa 10 jioni story zikanzaa ohhh subiria. Mara nipe muda kidogo mara nataka kuja kwako ok! Nikamwambia twende lodge leo ila J2 uje kwangu kushinda, kazingua sasa nimemwambia twende kwangu basi
nalo kazingua sasa. Jioni hii ananiambia anataka kuwa mke wangu in second, usiku mwema, bila explanation yoyote.
Nimfanyeje, nina hamu balaa na yeye.