Mpenzi wangu ananiambia kuwa ashawaza sana kuniacha ila anashindwa

kilukunyenge

Member
Dec 21, 2016
20
16
Habari zenu
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu ila yupo mbali na mimi.

Ananiambia kuwa ameshawaza mara nyingi tu kuniacha ili abaki mwenyewe ila anashindwa kwa sababu ananipenda kuna wakati anapiga simu akiwa na dhumuni hilo ila anashindwa sasa

naomba msaada hivi ni kweli huyu ananipenda kwa dhati ?
 
" akufukuzaye akwambii toka "

Mkuu ..
Sidhani kama huyo mpenzi wako ana upendo wa dhati kwako na amefikia hatua ya kusema alifikiria muda mrefu kuwa muacheni basi hana nia na wewe tena fanya mambo yako mengine mkuu...
Pole kwa msiba huu mzito uliokukuta.
 
Muulize kwanini anawaza ivo na akisha kupa sababu ndipo uchanganue kumuacha au kurekebisha makosa nasi kukurupuka kuachana nae pasipo fahamu kwa uhakika kwanini anawaza ivo.
 
habari zenu mimini kijana wa kiume nina mpenzi wangu wa miaka mitatu ila yupo mbali na mimi ananiambia kuwa ameshawaza mara nyingi tu kuniacha ili abaki mwenyewe ila anashindwa kwa sababu ananipenda kuna wakati anapiga simu akiwa na dhumuni hilo ila anashindwa sasa naomba msaada hivi ni kweli huyu ananipenda kwa dhati ?
Hilo suala ni la kweli kabisa maana na mimi nina mpenzi wangu kila siku natafuta njia ya kumuacha miaka inaenda mitano sasa lakini bado ninae
 
Muulize kwanini anawaza ivo na akisha kupa sababu ndipo uchanganue kumuacha au kurekebisha makosa nasi kukurupuka kuachana nae pasipo fahamu kwa uhakika kwanini anawaza ivo.
nimeshamuuliza sana anasema hakuna sababu anajikuta tu na hasira wakati mwingine tu anatamani kuniacha basi tu anashindwa kusema
 
Hayo maneno sio ya kumuambia mtu unayempenda.ni dhahiri amekuchoka anajilazimisha tu kwa maana hiyo muache wewe sasa mapema kabla hajakuacha.
 
Hapo kuna walakin haiwezekani mtu atake kukuacha bil sababu, hebu jaribu kumdadisi kwa undani zaidi afunguke kinacho mfanya awe hivyo
 
Mkuu! Dunian hakuna tukio lisilo na sababu!. Umesema anakujibu anajikuta na hasira! Ghafra tu akasilike pasipo tatzo? Tulia nae panga siku utoke nae iv nenda sehemu uhakikishe amefurah sana kisha rudi nae kitandani, mpe penzi motomoto Mkuu wakat mnapumzika huku amekulalia ivi kifuan taratiibu muulize nin hapendi akikujibu muahidi utatekeleza! Atacheka iv! Hapo hapo mpandie mbona mim hauniulizi! Akicheka tena alafu atakuuliza kwa haibu bas mfungukie na muulize unavotaka kwa ukuriimu! Anafunguka hapo Mkuu.
 
Shyeeeh...!!! Kamchukulie RB kabisa police na umsemee kwa mamake pia.

Hawezi kukuchezea tu halafu akudampo anategemea utaolewa na nani tena!
 
Back
Top Bottom