TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
Wakuu habari leo kuna jambo nataka kushare na umma wa watanzania haswa hawa wanawake walioolewa
Dada ndani ya nyumba kwenye dressing table yako vikorokoro ni vingi na vina thamani kushinda hata thamani ya hifadhi ya chakula stoo ambapo unakuta kwenye dressing table kuna vipodozi vya million 2 lakini stoo kuna chakula cha 12000 yaani papai moja,dagaa kilo 2 na unga kilo 4.mmh! hata kama urembo kuna ukomo wake
Sasa hapo mzee mzima huna kiwanja upo sebuleni unakunywa chai na papai unamsikia wife anapiga cm "haloo shost ile angel face yangu imeisha halafu nataka ninunue pafyum ya christian dior jumla hapo ni laki nne hapa nina laki moja tu nasubiri hubby aniongezee laki 3 nipitie hapo shopping kwako" mwanaume unakonda ghafla
Kwa wale wanaume wanaoamini uchawi wanataman wakuroge shida lakin wanajua tu wakichukua nywele zako tu kupeleka kwa mganga aidha mwanamke wa kibrazil asiye na hatia anakuwa chizi au kiwanda cha nywele china kinaungua.
Dada fanya urembo na maendeleo basi urembo bila maendeleo si urembo