Wanawake wamenishinda jamani

Wanawake wamenishinda jamani

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
884
Wakuu naombeni msaada

1)Nina ugonjwa wa kupenda, nikipenda napenda Kweli....Maajabu toka nimekuja dar 2014 sijawai kuwa na mpenzi.Kipindi hicho nilikua natongoza Wanawake wazuri lakini nilikua siwapati Kwa sababu nilikua bado nastruggle town, hata geto nilikua Sina.
2)Kilichonipa ujasiri wa kuvumilia miaka yote hiyo ni Punyeto na kwenda machimbo kununua malaya
3)Sasa hivi mungu kanisaidia nina kabiashara kangu mjini, nimepanga.Yani kwa ufupi ela ya kubadilisha chakula sio shida kwangu.
MATATIZO
1)Bado kila msichana ambaye nikimpenda nakuta ana mtu wake. Mimi naambiwa nimechelewa.
2)Huwa napata mara moja moja vianafunzi lakini sienjoy coz me napend sana kwenda klabu, beach, kujiachia na dem wangu lakini Kwa mwanafunzi inakua ngumu so tunaachana.
3)Kinacho niuma zaidi kuna nyumba nimeamia huu mwezi wa 6 sasa sijawai kuingiza girl... Tetesi zinasambaa kuwa mimi ni shoga coz najipenda sana,baby face,napenda kuvaa hiyo yote ili nivutie madem wakali.Naumia sana
OMBI
Umri wangu miaka 24,Kwa yeyote anayeweza kuniunganishia dem mkali kiasi chake
Asiwe mfupi coz me ni mfupi
Asiwe mnene
Asizidi miaka 24
Offer 100,000/=(Laki moja cash) Dar es salaam.
Nisaidieni mdogo wenu, Punyeto itaniua
 
Wewe mfupi afu wataka manzi mrefu sio sawa kabisa, wafupi mbebane wafupi siajabu ndomana
Wanakukataa tongoza mfupi mwenzio bhana.
 
Endelea kupiga Master ili mwaka kesho mwezi km huu hako kadudu Kako kawe hakana kazi tena ili uanze katumiwa uwe shoga sasa wakoswe la kusema.
 
Kwanza jua kabisa kuwa demu havutiwi na kuvaa ukapendeza demu anavutiwa na swagg yako ww kama mwanaume jiamini approach kuwa gentlemen usifosi vi2 uone kama hawajaja wenyewe.
 
Wakuu naombeni msaada

1)Nina ugonjwa wa kupenda, nikipenda napenda Kweli....Maajabu toka nimekuja dar 2014 sijawai kuwa na mpenzi.Kipindi hicho nilikua natongoza Wanawake wazuri lakini nilikua siwapati Kwa sababu nilikua bado nastruggle town, hata geto nilikua Sina.
2)Kilichonipa ujasiri wa kuvumilia miaka yote hiyo ni Punyeto na kwenda machimbo kununua malaya
3)Sasa hivi mungu kanisaidia nina kabiashara kangu mjini, nimepanga.Yani kwa ufupi ela ya kubadilisha chakula sio shida kwangu.
MATATIZO
1)Bado kila msichana ambaye nikimpenda nakuta ana mtu wake. Mimi naambiwa nimechelewa.
2)Huwa napata mara moja moja vianafunzi lakini sienjoy coz me napend sana kwenda klabu, beach, kujiachia na dem wangu lakini Kwa mwanafunzi inakua ngumu so tunaachana.
3)Kinacho niuma zaidi kuna nyumba nimeamia huu mwezi wa 6 sasa sijawai kuingiza girl... Tetesi zinasambaa kuwa mimi ni shoga coz najipenda sana,baby face,napenda kuvaa hiyo yote ili nivutie madem wakali.Naumia sana
OMBI
Umri wangu miaka 24,Kwa yeyote anayeweza kuniunganishia dem mkali kiasi chake
Asiwe mfupi coz me ni mfupi
Asiwe mnene
Asizidi miaka 24
Offer 100,000/=(Laki moja cash) Dar es salaam.
Nisaidieni mdogo wenu, Punyeto itaniua
An nneonekana chizi kwa cheko apa mbele ya kadamnasi...
Asante sana Jf the home of great thinkers
 
namba 3. itawashinda wengi, kujiachia beach,club akutane na bwana ake huko... au shemeji zake
kila MTU anautaka USO wake asipate ngeu.....
ingekua mwanammke wa kuja na kusepa
ungepata hata mke wa MTU..
tatizo vigezo na masharti yatawashinda wengi!
mjini kilamtu na wake!
halafu Tabia za masharobaro wa Dar kuvaa surualiza pink na nyekundu lazima utiliwe Shaka.

leta pesa hio nikuletee mtoto Jojo[emoji41]
 
Sasa tukusaidi lipi?
kupambana na tetesi au kutafuta mpenzi?

Kuhusu Tetesi why usiwe unapeleka hao wanafunzi na ma cd hapo mtaani
angalau tetesi hizo zitaondoka
utaanzisha tetesi zingine kuwa ni kicheche alieshindikana
 
Hili tangazo ungelianzia hapo hapo mtaani lazima utawapata tu hao wanawake unaowataka.
 
njoo nikupe tuition bure , cha kwanza kabisa inaelekea hujui kutafuta level zako , know yourself!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom