Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni kuwa asilimia 80 ya wadada wengi ukishaanzisha nae uhusiano nae kitu cha kwanza anachofanya ni kukutangazia shida zake uweze...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwanamke umbea kusutwa sunna jamani vitu vingine tunajitakiaga wenyewe. Kuna mdada mmoja ni mwalimu wa primary. Huyo dada anaishi na mdogo wake wakike darasa la sita ambae anasoma hapohapo katika...
7 Reactions
126 Replies
15K Views
Habari wana MMU, nina rafiki yangu mwenye jina la J kwa sasa yupo mkoni huko. Aliyonifanyia sikuamini. Mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa akisoma chuo fulani ambacho kipo Mbeya kwa sasa...
3 Reactions
57 Replies
8K Views
UNAKULA UJANA NDIO, LAKINI CHUNGA SANA MAMBO YAFUATAYO USJE JUTIA MAISHA YAKO YOTE. Share Elimu Hii ya Bure. Wakati wa ujana ndio wakati ambao watu wengi wanajaribu mambo mbalimbali. Sio kitu...
8 Reactions
40 Replies
11K Views
Imezoeleka kwa watu wengi wake/waume ,kujikuta mtu anaeleza mambo yake ya nyuma. Mfano utakuta mtu anakwambia; "mimi usinione hivi Nishapuyanga sana saivi nimeamuwa kustafu,au nishatembea na...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu habari za weekend? Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada. Maisha ya upweke yamenichosha sana...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Binti aliyekuwa muchumba wangu zamani kaenda kuchonga kwa muchumba wangu ati tuachane na amefanikiwa kanibwaga kwel.Jamani mabinti mmekuwa chanzo kikubwa kwa kuharibu mahusiano mengi sababu ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Fuc.k u mods.
2 Reactions
52 Replies
3K Views
  • Closed
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Habari zenu wana jukwaa wakubwa shikamooni. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22.Nimwanachuo mwaka wa pili. Nimetokea kwenye familia yenye uchumi wa Kati, sijabahatika kulelewa na wazazi wote...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Nimeishi maisha mengi nimeona mengi nimefanya mengi nimekutana na mengi. ......kuna watu wanaitwa wafujaji siwazungumzii hawa....kuna wabinafsi Chao Chao chako pia chao...kuna wabahili wanacho...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari zenu. Naomba niwaombe ushauri juu ya kilichonitokea........ Nilimaliza chuo miaka minne iliyopita. Kama unavyojua maisha yanavyokuwa magumu mtaani baada ya maisha ya chuo...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Maoni yenu na ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kwenye hili; Mimi nimeajiriwa nafanya kazi na kulipwa mshahara wa hali ya kawaida. Sio mdogo na wala sio mwingi bali...
35 Reactions
151 Replies
12K Views
Darasa ni popote jamani kuna watu wanaishi na hawa Dada wa kazi kama ndugu zao au Mara nyingine kwa haraka haraka waweza dhania ni mtoto wa hapo hapo,wengine wanakaa na hawa watu mpaka...
3 Reactions
57 Replies
13K Views
Habari za jioni wakubwa kwa wadogo, Ndugu zangu nimekuja kwa mara nyingine naomba msaada wenu, msaada wa ushauri mzuri. Naomba nianze nyuma kidogo, naishi Dar es Salaam, nina mke na watoto...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Salamu wana JF, Nimeamua kuja kupata maoni yenu wakuu kuhusu hili jambo ambalo linanikereketa moyoni. Ni hivi waungwana, niko kwenye ndoa na mke wangu karibia mwaka wa pili huu. Nakaa mji wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
1. Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu 2. Mkanye mtoto wako wa kike kuhusu kukubali...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
habari zenu!!! Ameoa miaka mi3 iliyopita na kabla ya hapo alibahatika kupata watoto watatu kutoka kwa wanawake tofauti....tatizo alilonalo kwenye ndoa yake hii ni mke wake kumkimbia baada ya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanajamvi, Heri ya mwaka mpya! Kitambo sana sijaingia huku kutokana na pilika za hapa na pale. Twende kwenye hoja. Nitajaribu kufupisha maelezo kama nitaweza ili nisiwachoshe. Kuna binti mmi ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama mtakumbuka nilwahi kuwaambia ya kwamba kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya ushindi ya mheshimiwa mmoja hivi ambae alishinda na hatimae mzee wa...
10 Reactions
173 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…