Jon ni mtoto wa pekee katika familia yao huyu ni kifupi cha Jonathan si Faru John, wazazi wake waliona wote wawili wakiwa 30+, baba alishafikisha 35 mama alikuwa bado kwenye 31, baba na mama Jon...
Wakuu wa baraza amani iwe nanyi.
Leo nawauliza swali hawa dada zetu, kwanini mnapenda kufanya udukuzi?
Wanatumia juhudi kubwa mno ili kupata kumjua mtu wanaokutana naye. Tuseme labda ni...
Enzi hizo aslimia 99 kishule shule mapenzi ni kwa maneno tu yule mchumba wangu mara huyu msichana wake na head boy sijui head girl kadimbua kiboy cha St. Francis . Ilimradi title tu yani hata...
MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 43,NINA NIA THABITI YA UKWELI KABISA NATAFUTA MKE WA KUOA!AWE MTU MZIMA KUANZIA MIAKA 40 NA KUENDELEA,KIGEZO KIKUBWA AWE MKWELI NA SIO MBABAISHAJI,HAWE MWENYE...
Asubuhi May 28 1995
Nikiwa namsaidia kaka kazi ya kuuza duka wakati huo huo nikijisomea kijarida maridhawa(nisichokikumbuka jina kwa sasa) ambacho maudhui yake yalilenga sana mambo ya mhausianio...
By Steph Arthur
Research from Penn State found that women reported talking more about sex and sex-related topics with their best friend than men did. And they found that we're very, very...
Nimekaa na kufakari kidogo na kujiuliza,
Tatizo liko wapi hasa linapofika swala la kuoa au kuolewa. Je ni kwamba wanaume hawataki kuoa au wanawake hawataki kuolewa.
Wataalam karibuni.
Habari zenu , ,
Inakuwaje mtu anaamua kujitoa uhai ,Inakuwaje hapo anapatwa na msongo wa mawazo??,yaan ni anakuwa hana option nyingine anaona kujitoa uhai ni suluhisho,,au ni kuwa mkimya...
Jina la Bwana liinuliwe
Nina rafiki yangu ambaye tulianza wote maisha, tulipanga geto moja, huku uswazi, tulikuwa tunaishi kama ndugu ila tulikutana tu mjini tumetoka mikoa tofauti yeye wa mwanza...
Mimi ninae mtaka
Awe muwelewa
Muislam
Miaka 30/37
Awe ana uelewa wa
Hali ya juu computer
Awe ana swali
Mtoto ikiwa anae sio tatizo
Awe mstarabu
Awe namapenzi ya Kweli
Mimi nina miaka 38...
Tazama mungu alivyo mwema amewapa uzima hadi sasa!
Toka nimekuwa katika mahusiano nimejifuza kuwa kupenda haitoshi kuwa na hisia kali na kuthamini unaempenda tu!
Nimejifunza kwamba unapodenda...
Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Habari za wakati wenu wana MMU!!
Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale...
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya...
Swala la Kucheat katika mapenzi suala moja Mtambuka sana! Asilimia 90 ya watu waliopo kwenye mahusiano mmoja wao anacheat! So kugundua kuwa nani anacheat ni kitu kimoja kikubwa sana ambacho kila...
Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi.
Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mdada mwenye miaka 26, elimu diploma ni mwajiriwa,nina mtoto,
Natafuta mwenza anaejitambua na mwenye huitaji wa serious relationship;
-Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 24, sijaoa, natafuta mpenzi niko Mbeya, awe na kazi yeyote ya kujikimu, awe mkristo wa dhehebu lolote, kabila lolote, umri wa chini yangu. Mungu akijaalia tuanzishe...
Being a parent is a full-time job you can never quit
While many developed countries are seeing a decline in birth rates, in Tanzania, having children is not optional but a necessary part of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.