Natafuta mpenzi nipo Mbeya

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,579
Mimi ni mwanaume wa miaka 24, sijaoa, natafuta mpenzi niko Mbeya, awe na kazi yeyote ya kujikimu, awe mkristo wa dhehebu lolote, kabila lolote, umri wa chini yangu. Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
 
Macomplicator wasumbufu sana mwana, wadada wanawakwepa mnoo! We kausha tuu hivyo hivyo!
 
mimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.

awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.

Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
utafutiei hukohuko mbeya kuna wakina aganile atupwele na andongwise....huku mjini usifike
 
Wewe unanyumba,unashamba,una A/C,unaajira ya kuajiriwa au kujiajiri kipato chako kwa siku ni sh? una akiba ya chakula cha kutosha,Au mtaanza kwa baba then mtaahmia kwenu.
 
mimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.

awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.

Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
Akili iko vizuri kweli Ndg mtaani wake wengi leo uombe mtaani.
 
mimi ni mwanaume wa miaka 24,sijaoa,natafuta mpenzi niko mbeya,awe na kazi yeyote ya kujikimu.

awe mkristo wa dhehebu lolote,kabila lolote,umri wa chini yangu.

Mungu akijaalia tuanzishe familia baada ya kuoana.
Nenda pale Mafiati au Pamoz, wako kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom