Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,764
Asubuhi May 28 1995
Nikiwa namsaidia kaka kazi ya kuuza duka wakati huo huo nikijisomea kijarida maridhawa(nisichokikumbuka jina kwa sasa) ambacho maudhui yake yalilenga sana mambo ya mhausianio na mapenzi anakuja Ngase ambaye alikuwa Kondakta wa gari ya Msagati ambayo ni gari pekee iliyokuwa inamilikiwa na mzawa kijijini kwetu!
Alikuja na kijikaratasi alichokuwa kakikunja kunja na kuniomba nimpelekee Juliana(R.I.P) ambaye alikuwa mke wa Muso(Mfanyakazi mwenzie kwenye kampuni ya Msagati) Nikakipokea na kuahidi kukifikisha kwa mlenga ila baada ya jamaa kuondoka nikaamua kukifungua na kusoma ujumbe aliokuwa anamtumia Juliana...Nikampelekea...
Punde tu baada ya kuufikisha barua nikarudi dukani,kisha ikatokea dharura ambapo watu wote nyumbani walitoka na kuniacha pekeangu ambappo nami niliamua kufunga na kuondoka nyumbani kwenda mtaa wa pili ambapo waliishi jamaa zangu ambao familia nzima ilikwa ya wafanyakazi isipokuwa Dani na Doreen ambao ni watoto Doreen akiwa shule ya msingi na Dani angali bado mdogo kuanza shule hivyo kushinda kituo cha kulelea watoto hadi baada ya muda wa kazi arudishwe nyumbani...
Nyumbani nilimkuta binti wa kazi tu ambaye nilikuwa sikupoteza muda nikatangaza sera zangu na kufanikiwa kuchukua jimbo though haikuwa kazi ngumu kwa kuwa jimbo lenyewe lilikuwa huru...Tukafanya! Tukafanya tena! Wakati tukiwa kwenye mtanange kulinda heshima ya kitanda akaja ghafla Doreen mtoto wa mwenye nyumba bila kugonga mlango...tukakutwa!
Alihamaki kwa hali aliyoikuta ila kabla hajapiga kelele nikamuwahi na kumtoa nje kuepusha shari zaidi...kwenye kubembeleza akaniambia 'nami nataka' usiponipa nitakusemeeni kwa mama!..Nikamla!
Mchana May 28 1995
Nikarudi dukani kuendelea na kazi kama kawaidi ila katikati ya shughuli akaja Juliana na kunilalamikia mambo yote aliyokuwa meandikiwa na Ngase kweny barua niliyompelekea asubuhi,nami kuukoleza ikabidi nifunguke tu kwamba ukweli barua yenyewe haikuwa ya kiheshima na mwandishi alikosa adabu hasa ukizingatia alitambua fika kwamba ni shemejie na kwamba yeye na Mumewe ni marafiki.
Wakati akitaka kuondoka nikamchombeza kwamba ili nimfichie siri inabidi nami nipate kificha siri jambo ambalo lilipokelewa bila kupingwa kwa ahadi ya kukutana naye jioni ya siku hiyo..
Jioni ilipofika nikatangulia eneo tulilokuwa tumekubaliana ila kabla ya kufika nikakutana na Anna ambaye alikuwa wifi wa Juliana(Mdogo wa Muso) kwenye kutaniana taniana Anna kanielewa,ila wakati naanza tu michezo ya jogoo akaja July na kupayuka 'nimewaona' hali iliyopelekea Anna kukimbia na kusahau khanga...
Kwa kuwa tulikuwa na miadi tayari tuliweka tofauti zetu pembeni na mikakati ya kutekeleza ahadi ikaendelea...Nikamla! Tena na tena!
Leo 03/02/2017
Juliana katimiza miaka mitatu tokea tumemzika Kipunguni baada ya kupata complication wakati akijifungua mwanae wa nne(aliachana na Muso,akimwachia watoto watatu)...
Aliyekuwa mfanyakazi wa ndani wa kina Doreen hajaolewa ila ana wanae watatu!
Doreen yupo tu ni take away anasubiri Mume kutoka kwa bwana..
Anna yupo tu hajui kama anataka kuolewa ama anataka kuoa...
Nami nipo nipo nasubiri nitimize miaka 55 nitafute mchumba!
Wasalaam!