Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,259
- 70,630
Habari zenu , ,
Inakuwaje mtu anaamua kujitoa uhai ,Inakuwaje hapo anapatwa na msongo wa mawazo??,yaan ni anakuwa hana option nyingine anaona kujitoa uhai ni suluhisho,,au ni kuwa mkimya sana akipatwa na majanga anakaa nayo kimya,badala ya kupata ushauri?
Nishajiuliza sana hebu wataalam watusaidie hili,inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kujiua,kujitoa uhai wake maana Naona ni kazi ngumu kidogo,,
Na hawa ni aina gani ya watu ,,na wafanyaje ili kuepukana na kufikiria kuijtoa uhai
Asanteni