Natafuta mchumba wa kuoa

mattargsm

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
391
150
Mimi ninae mtaka
Awe muwelewa
Muislam
Miaka 30/37
Awe ana uelewa wa
Hali ya juu computer
Awe ana swali
Mtoto ikiwa anae sio tatizo
Awe mstarabu
Awe namapenzi ya Kweli

Mimi nina miaka 38
Nimejiajiri ni mstarabu
Sipendi ugomvi
Maisha yangu ni wastani
 
Duuuh, kwaiyo hapo kwenye ujuzi wa computer itabidi kuambatisha cheti au itafanyika practical interview?????
 
A namaanisha awe na uelewa kama computer jmn .yaanii uelewa wa hali ya juu. Someni kwa umakini hata kiswahili kinawashinda duuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom