Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Swala la Kucheat katika mapenzi suala moja Mtambuka sana! Asilimia 90 ya watu waliopo kwenye mahusiano mmoja wao anacheat! So kugundua kuwa nani anacheat ni kitu kimoja kikubwa sana ambacho kila mtu angependa kukijua!

Kiukweli na kiuhalisia ni rahisi sana kumkamata mwanaume anae cheat lakini sio mwanamke anae cheat! Mwanamke anae cheat kumkamata ni kazi sanaa unless yeye aamue kukonesha kuwa anacheat ili muachane na hii huwa baada ya kuwa amekuchoka au huna vile vitu anavyo vitaka yeye! Mfano maybe huwezi rough sex,or may be huwezi ku act like a man,or may be your not harsh wewe kila kitu ukiambia ni sawa! Na vitu vingine vingi kifupi sio Mbunifu kwenye mahusiano yenu!

Sasa kuna code mbalimbali ambazo mwanamke au mwanaume anazitumia katika kucheat hasa kuwasiliana na yule mtu anae cheat nae! Nitakupeni mfano mmoja wapo!

Mimi sijaoa lakini kuna mke wa mtu alinipenda na nikawa na cheat nae sababu ni kuwa nipo HARSH sana kwenye mapenzi na ni muumini sana wa Rough sex! So kupitia kile alinipenda sanaa hadi kufikia hatua nikawa nina control ndoa yake like leo namwambia sitaki usex na bwana ako basi kweli hata sex nae atamwambia hata tumbo kuwa linauma! Ile kumwambia tuu leo sitaki ufanye hivi japo am wrong lakini nalazimisha my wrong way to be a true way!

Yule mke wa mtu alinipenda sana hadi leo hii....and tukienda kwenye sex nilikuwa so rough...leo kwenye gari,kesho parking kesho kutwa kwenye koshi,mtondogoo hoteli mara chooni so i was so harsh and rough!

Sasa nitafanyaje kuwasiliana nae n huku yeye ana mwanaume na watoto! Yeye akanifundisha na Kunipa CODE ambayo tukawa tunaitumia

Ipo hivi Alisema mimi nikitaka kuchat nae namtumia neno PEPSI yeye akijibu COCA means hapo naweza kuchat nae na kupanga mipango yetu yote baada ya kumaliza ana delete convo imetoka hiyo! So mwanaume wake hata akishika simu hawezi kuona chochote!! Pia nikimtumia neno PEPSI akanijibu FANTA means No chating anymore and we can't chat hapo ujue mwanaume wake yupo so nyeusi inaenda kwa nyeusi! Hivyo hivyo na kwakwe kama yeye anataka kuchat na mimi atanitumia NENO pepsi hapo najua yupo peke ake na ninaweza chat nae!

Nikimtumia neno PEPSI akanijibu PEPSI FANTA! Means jamaa yake yupo lakini tunaweza kuchat haina shida! So ikawa hivyo baada ya kumaliza ana delete hakuna kusave jina wala nini mwanaume wake atakagua hiyo simu haoni kitu!

Sasa Twambie ni CODE GANI WEWE unayo ifahamu ambazo zinatumika kwa watu wano cheat mimi na ifahamu hiyo ya PEPSI FANTA COCA wewe je?
 
Ngoja unaswe ndio utazijua hizo code vizuri.

In life....never under rate any man as long he is the same man like you.

Laiti ungejua na yeye anatumia code gani usingethubutu kuendelea na huyo Mke wake.

Ni suala la muda tu, hakika utakuja kunaswa tena kirahisi mno wala hutaamini.
 
Mie mgeni hapo ,hongera kwa kuwafundisha wenzako kutoka nje ya ndoa zao na kuzicontrol. Kuwa mstaarabu oa wa kwako acha kutumia haki ya mwanaume mwenzako
 
Kwaiyo Nawewe Kama Mke Wako Akihitaji Mtu Ambaye Mpole Na Mtaratibu Atakucheat Si Ndio Maana YaKe Uliposema "huna vile vitu anavyovitaka yeye!"
Jiandae Bro.
Amesahau kale ka msemo "Mtenda Hutendwa"
Unajisifu na code zako kula mali za watu..endelea tu kijana.
 
Ngoja unaswe ndio utazijua hizo code vizuri.

In life....never under rate any man as long he is the same man like you.

Laiti ungejua na yeye anatumia code gani usingethubutu kuendelea na huyo Mke wake.

Ni suala la muda tu, hakika utakuja kunaswa tena kirahisi mno wala hutaamini.
Mwanaume mwenye akili hawezi kujivunia kuharibu ndoa ya mwanaume mwenzie tena iliyomgharimu mambo mengi kuiimarisha.Huyu jamaa ana sifa za kijinga na ni mpuuzi.Heshimu ndoa ya mwenzio.
 
Mwanaume au mwanamke,kutoka nje ya ndoa HAWEZI KUKOSA SABABU. Kwahio si kila mwanamke au mwanaume anayechiti kwamba kuna vitu anavikosa kwa mkewe/mumewe,ila HUO NI UONGO WANAOUTOA KWA WALE WANAOCHITI NAO,ILI WAO WAJIONE NI WAJUZI KULIKO MKE/MUME WAKE.Kwahio rekebisha kauli sio kila mke wa mtu anayekupa penzi ukayaamini maneno yake,wewe kama umeamua kupiga piga tu,ila usidhani hizo ndio sababu,na pengine hauko peke yako ktk anaochiti nao.
 
Mimi huwa namuuliza ndege inatua akijibu ndio basi tunachat akijibu hapana basi
 
Back
Top Bottom