Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Son of Alaska, Aug 27, 2008.

 1. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo?akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio muhaya,is it that our malehood una walakin? i understand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya,and on top sisi ni generation mpya. sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort.naombeni majibu ndugu zangu
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  pengine you have a reputation that people cant wipe from their minds ... its become a brand name on you since enzi na enzi ... what to do ... impossilbe to change your tribe???? .. pole sana
   
 3. B

  BobMarley Member

  #3
  Aug 29, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  navyosikia wahaya hawajui kuongea na wanawake wao vizuri maana hawana respect. wana tabia ya kujisikia tu na kuwadharau watu kutoka makabila mengine.wakina kaka mkiwa kwenye relationship usifanye kama wewe ndiyo bosi maana wakina dada wa makabila mengine hawajazoea hizo tabia.mimi naona wahaya kwa wahaya watawezana wenyewe kwa wenyewe
   
 4. B

  BobMarley Member

  #4
  Aug 29, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mdogo wangu kaolewa na mhaya na nilisahau kumention hii.walikuwa hawaelewni yeye na mme wake mimi pia nilikuwa simpendi shemeji yangu kila kitu dada yangu akifanya yeye anadharau mpaka wakaachana.shemeji yangu alikuwa hawezi kucompromise na mkewe.mimi naona wahaya mcool down kidogo tu coz there is nothing wrong being proud of urselves.
   
 5. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2008
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wahaya,bwana wanafaa waoeane wenyewe,wanaringa sana hawa,u cant help this,ila wanawake wanaweza kuolewa na makabila mengine,ila watu wengi wanasema hawakamatiki,hapa sio kweli,hata makabila mengine wana nyumba ndogo ,kuna wachagga pia ,nao wakiwa matawi ya juu,wanatakiwa waoe matawi ya juu pia ,amasivyo mke/mume utadharaulika wewewee
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nimemuuliza dada mmoja hapa kisha nikamuuliza mwingine ni kwa nini inatokea kaniambia tatizo la wahaya kujisikia sana na kujiona wao ndo wao yaani bab'kubwa na wanajua kila kitu na ukihelehele au kimbelembele hizi tatizo zinawakela sana wasichana kikubwa zaidi kujiona wao ndo NSHOMILE......kuliko wote.
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2008
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  wadau acheni hizo,haya ni mambo ya stereotype tu,kama ni arrogance hiyo ni tabia ya mtu binafsi.nafahamu watu wengi wenye nyodo wengine wasukuma,nyakyusa,wahindi....just mention it. Mimi nadhani kikubwa ni wawili ku hit basi,mambo ya makabila hayahusu,afterall nasikia wanaume wa kihaya kwa teknolojia ya ngono ndo wenyewe!
   
 8. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha kuringa wala kujiona, wanawake wa makabila mengine wakuchunguza ili kujihakikishia kama umeenda jando. maana hawapendi kula koni gandani.
   
 9. Mchola

  Mchola Member

  #9
  Aug 29, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wahaya kwa asili hawatahiri kuondoa govi? Naomba jibu pls japo nje ya mada kuu
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Aug 29, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  he!! sikuwa nikijua hilo... but kama ni kweli please badilikeni- Wahaya wengi mmejaliwa sura na rangi nzuri (hasa wanaume) na wanawake mmejaliwa maumbo na miguu mizuri. Badilini tabia ili msiwanyime haki wale wanaowatamani/ wapenda na wenye nia njema nanyi.
   
 11. V

  VURU New Member

  #11
  Aug 29, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nikupe jibu mimi nimeona wasiotahiriwa sasa sijui kama ni wote
   
 12. H

  Haika JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kuna sterotype.
  Haipendezi na ni vigumu kuifuta.
  Ni vema kwa inayomsumbua kukaa na watu wanaompenda na wanamjua na wako comfortable nae. Wengine waache walivyo, huwezi kuwabadili!!!
  Nasema hivi kama mchaga ambae pia jamii baki wanatuchukulia kiajabuajabu tu.
  Basi huku tunajaribu kusurvive, lakini tunajitokeza na kujionyesha kuwa wanavyowaza si kweli 100% japo kuna ka%age kadogo ni kweli. (hivyo hivyo kwa makabila yote) Lisemwalo lipo.
  wachaga, wahaya, wapare, wasukuma, wangoni wazaramo etc
  tunashukuru kama wewe si mmoja wao wenye kujisikia na madharau, mimi experience yangu na hilo kabila sio nzuri sana. Binamu yangu ilibidi avunje ndoa! mume hana kazi lakini madharau hayaishi, anadharau hadi mama mkwe!
   
 13. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  HOYA,i have said and i am saying it again,sisi ni GENERATION MPYA,tunakwenda sambamba na curcumcision na whatever,nipeni sababu zingine,cause as far as i understand hili sio root cause,kuhusu kujifanya nshomile etc etc,now how does this come into play,one thing i understand,katika game la between the sheets,we have no peer,many a woman can testify on this
   
 14. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Umeianzisha habari sasa wataka kuja juu. Nani anajua kuwa mmeshabadilika? Asili ni asili tu. Utadhaniwa hivyo mapaka inapothibitishwa kuwa umetahiri vinginevyo mtafikiriwa hivyo siku zote.
   
 15. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  naweza ku bet on my life,kwamba almost 90% ya wanawake TANZANIA,at some stage of the sexual life,have gone out with an uncurcumcised man,and loved every moment.naomba akina dada with hands on your heart mkimuogopa mungu,mdeny hii habari- in conclusion either u r curcumcised or no,does not determine how a relationship goes
   
 16. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kubadilika itawachukua miaka mingi sana hiyo ni hulka ya kabila zima, inahitaji revolution ya generation kama mbili hivi, ni kilema cha mawazo.
   
 17. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nilisha wahi kukaa nyumba moja na mhaya akani-under rate kutokana na maisha yangu. Alianza vituko vya kutokufanya usafi hasa bafuni mara akisha oga akawa anaacha maji machafu. Siku moja niliamua mimi na familia yangu tuoge mapema na mtu wa mwisho aache bafu chafu ili nao waone kero tunayoipata. Nakumbuka alichofanya yule mwanaume ni kuchota maji machafu toka bafuni na kuja kumwagia ndani kwangu kupitia dirishani. Nilijisikia vibaya sana na nikakumbuka enzi za vurugu shuleni hata vinyesi ilikuwa ni silaha tosha. Nilichota maji ya choo nikamwagia kupitia dirishani kwenda chumbani kwake. Nikatangaza vita huku nje. Kesho yake alihama. Wana nyodo, dharau majigambo hata kwa wale ambao hawakusoma nao tabia yao ni hiyo.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo kweli umenena mimi nimesoma nao sehemu mbali mbali tabia ndo hiyo hiyo ya kujiona wao bab'kubwa ninaye mwingine mhaya jilani yetu dah balaa yeye ni kuponda tu utasikia aaah utanunuaje baloon mala baloon si gari nunua Vogue yeye huku hana hata pikipiki au baiskeli basi anajiona balaa kama tajiri haishi kujivunia kwa Karamagi eti mjomba'ake duh hawa watu mmh!
   
 19. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mhaya fika. Ni kweli kizazi cha kuanzia baba yako kwenda juu kilikuwa na tatizo moja kubwa: Superiority Complex. Wanyankole huko Uganda bado mpaka sasa wana tatizo la kujiona wako juu ya jamii nyingine hivyo jamii nyigi haziwapendi. na sisi wahaya tuliwahi kuwa kama hawa wenzetu wa Uganda. Kumbuka hapo zamani kidogo kijana wa kihaya ilikuwa sio rahisi kuoa makabila mengine kwa kisingizio kwamba ni "wanyamahanga"! Binafsi mimi harusi yangu ilisusiwa na ndugu zangu wengi eti nimeoa Songea! Hivyo basi wasichana wa makabila mengi wanalijua hili na ndio maana wengi wao wanakuwa na mashaka kutoka na kijana wa kihaya. Hata kama wewe binafsi unampenda but she is not certain about your family and relatives and that counts alot in a relationship. I dot not regret marrying outside my tribe and my wife is one of the most respected in laws in my family. Anyway kidogo kidogo the attitude is now changing for the better. Hang in there do not despair.
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tatizo la whaya akienda shule alafu akabahatika kupata na senti basi hapakaliki.
  Mbailike kujivuna mpunguze
   
Loading...