Nimemaliza chuo cha UDOM na sasa ninafanya kazi na shirika fulani na mipango yangu nikuoa mwakani.
sasa nikiwa mwaka wa kwanza mwazoni kabisa niliachana na my first lover (naamini mnaelewa...
Unaambiwa kuwa uyaone mwanangu.Na kama mademu wataendelea na shobo za aina hii.Biashara ya unga itakuwa ni vita ngumu mno.
Nimekuja kustuka,Kumbe mademu wazuri mjini na bongo movie karibu wote...
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
Helloooooos....,
Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya...
Msaada jamani,
Kuna mama wa kiaribu huwa namuota sana zaidi ya wiki 2 sasa na asubuhi lazima aniangalie kwa mshangao anapopita kwenda dukani kwake, awali nilichukulia kawaida.
Naombeni ushauri...
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo...
Habari zenu,
Mimi ni mgeni humu ndani.
Nina mpenzi wangu nampenda kutokana na tabia zake huwa tunagombana kuna mdada mmoja wanaelekea kwenye mahusiano nikaja kujua tukagombana na yule dada...
Habari ndugu zangu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nimeajiliwa hapa kwa mda wa mwaka mmoja na nilibahatika kuoa miezi minne iliyopita kiukweli kipato changu ni kidogo sana changamoto...
Hii tabia baadhi ya wanawake kupendelea kuvaa nguo hizo hizo kila siku, haoni hasara kuvaa nguo kwa wiki nzima, inawezekana ukawa unaisafisha ukitoka kazini lakini bado haipendezi mwanamke kuvaa...
Wandugu nina swali kidogo,
Hivi mwanaume anaweza kumtakia heri ya siku ya wapendanao mwanaume mwenzake? Yaani akiwa kamlenga yeye kama rafiki yake mzuri e.t.c.
habari za wakati huu wakubwa
next week ni siku ya kuzaliwa mbabe wangu mwanaume ninayempenda
natamani nimfanye chochote ajue naijali siku yake hiyo
mimi nipo dar yeye yupo mkoa
naweza fanya nini...
Habari!
Naitwa Mahmoudy nipo Arusha, mimi ni mtumishi wa uma na kazi nafanyia Arusha, natafuta mchumba wa kiislamu awe na sifa zifuatazo;
Umri 18-22
Elimu kuanzia Form 6 na kuendelea.
Asiwe...
Habari za Ijumaa wapenzi,
Leo nimekumbuka kisa kilichomtokea kijana Ben jamani maisha haya, Ben alitoka mikoani kuja kusoma chuo mlimani, wazazi wa Ben walikuwa waajiriwa wa serikalini tunaweza...
Roho ya kiburi imemwagika duniani na vijana wengi wameingiwa na kiburi. Sifa kuu ya kiburi ni kujiona mkamilifu na kutokuwa tayari kukosolewa, kushauriwa na kurekebishwa. Kiburi husababishwa na...
Unasubiria Jumanne ya Tarehe 14 kwa nguvu sana ILI IWEJE??? Labda
kama ni Anniversary ya penzi lenu(mlikutana siku ya tarehe hiyo), kwamba ni muhimu kuadhimisha..
Wewe penzi lako na mchuchu...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...
Habari
hivi majuzi baada ya kupata hela kupitia shughuli zangu niliamua kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi w makazi. nilipopata mahali pa kuanza, nilianza na kujenga msingi. kwa kweli ulienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.