Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini Wadau, Mwanzoni nilifikiri Mwenyezi Mungu aliamua tubaki na magovi yetu hivi hivi mpaka siku ya mwisho. Lakini, kwa sisi wakristo tunasoma katika maandiko kuwa wana wa Israel waliagizwa...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada...
5 Reactions
84 Replies
17K Views
1. _Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua..._ *It's Over!!!* _ 2. _Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi?_ *It's over!* _ 3...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii tabia mnayo sana nyie wanawake, ndio maana huwa mnaumizwa sana na mapenzi na kutuona sisi wanaume kama letu ni moja. Msela kakuona unavyovutia tamaa zikamuingia, akakusimamisha barabarani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu...
13 Reactions
99 Replies
11K Views
Wakuu habarini, Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya. Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua...
3 Reactions
171 Replies
17K Views
Habari zenu :: NI BAADHI YENU LAKINI. Unakuta mwanaume ana familia yake nyumbani, na si kwamba ni kimada tu Hapana ( ni MKE WAKE WA NDOA KABISA) Lakini unakuta mwanamke wake hana kazi, labda...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Utakuta kila mara anapigwa anatukanwa lakini yumo tu kazi ni kulalamika kwa mashoga zake, huko watamshauri aachane na huyo jamaa katili utakuta anawadharau anaenda tena. Naamini hili halipo kwa...
0 Reactions
144 Replies
16K Views
Tukiwa tumesimama stand mapema asubuh tukisubiri gari, hatua 5 Kutoka nilipo jamaa fulani alikuwa akiongea na simu. Kwa picha niliyoisoma ni kuwa jamaa alipata ushahidi kuwa kuna jamaa anamla...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Heloooooooooooooooooz mabestito Awali ya yote nawapa hi wote wadau na mabest wangu wa ukweeeeeeeee hususani wadada habari ndo hiyo. Leo nadhamisha somo lisemalo huna budi kuweka UROJO wa sembe...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
BY DAYAN MASINDE 1. You relate best on virtual relationships not on real face to face relationships. You have many “chat mates” who make you feel close but you keep them at a distance, no...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Wasalaam wana jukwaa, Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays .... Kando...
4 Reactions
347 Replies
26K Views
Aisee wanaume nani kawaroga? Nashangaa matukio ya kujinyonga kisa mapenzi wanaume wanaongoza, yani tangu niko chuoni nasikia mwanaume wa corse flani kajinyonga kisa mapenzi, nimekuja mtaani...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Kuna kitu kina nishangaza sana, inakuaje tutoe hela ili kupata penzi wakati inasemekana wanawake hupata raha zaidi wakati wa tendo kuliko sisi wanaume. Sitoi hela mimi bora nipaki kuwa dume kaptura tu
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Nilipendana na msichana tangia tukiwa kidato cha kwanza, uhusiano uliendelea mpaka nilipofika kidato cha sita wakati tukiwa katika mahusiano hakuna kitu chochote cha mapenzi tulichowahi kukifanya...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
``` WANAUME TUACHE HIZI MAMBO: [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi. Lakini kabla...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Dunia ina mambo! Nimepata mpenzi mpya yapata miezi miwili sasa baada ya kutofautiana na mpenzi wangu wa zamani. Cha kushangaza kwa huyu mpenzi wangu mpya ana tabia mbaya, imebidi leo niombe...
3 Reactions
97 Replies
15K Views
Katika huu ulimwengu wa leo linapokuja swala la mapenzi hakuna mbabe wake, karibu kila mmoja katika historia yake ya kimapenzi ashapitia changamoto nyingi sana mpaka wengine wamefikia hatua ya...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Takribani katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila...
4 Reactions
17 Replies
12K Views
Wakuu msaada wenu tafadhari Leo nimejifungia nalia kutwa nzima na anayeniliza ni rafiki yangu kipenzi na si mwingine bali Punyeto Rafiki yangu huyu huwa ananiliwaza sana nikiwa mawazo Nikiwa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom