Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,015
Enzi hizo aslimia 99 kishule shule mapenzi ni kwa maneno tu yule mchumba wangu mara huyu msichana wake na head boy sijui head girl kadimbua kiboy cha St. Francis . Ilimradi title tu yani hata kushikana mikono mnaogopa. Mara kilakala na moro sec wanacompete kwa wavulana wa mzumbe ila mzumbe wanawataka kilakala na si moro sec teh. Wasichana wa Moro sec umlaya wao tu kujichekesha nakujipendekeza kwa mzumbe.
Jumapili kuna joint mass St. Peter lazima uende ilimradi tu ukamuone yule kaka aliekuchekea kanisani. Kumuona tu nakupiga story tu tena kwa mbali mbali. Mapemaaa unaazima tomato jipyaaa khakha atakuonaje na shati limefubaa bana Wee niazime nikirud hapohapo nakufulia shati lako. Hata kama ni mvivu wa kanisani joint mass lazima uende. Kwenye bonanza sasa ndo usiseme.
Siku hizi watoto hawarembi vitu vinapigwa nje nje yani. Ni kuthubutu kwa kwenda mbele.
Ewe Mwalimu
mzazi mlezi ndugu jirani padre sista unafikiri tutumie mbinu gani ili kusitisha mambo ya mapenzi na ngono mashuleni??!????