Ndoa: Natafuta mke

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
134
235
Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi.

Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31 kuelekew 32.

Awe na angalau certificate kama kiwango chake cha Elimu, Awe na Umri wa miaka 23-29, aliye tayari aje inbox (PM), Mbarikiwe
 
Awe na at least certificate, unataka kumuajiri?
Hiyo hofu ya Mungu na wewe unayo? au ndio ile law "unlike charges attract to each other"
 
Uko mkoa gani nije nikuhakiki . Ukikidhi viwango nikuoneshe mdada mmoja yupo makongo juu anazagaa tu. Atakufaa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom