faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Nimekaa na kufakari kidogo na kujiuliza,
Tatizo liko wapi hasa linapofika swala la kuoa au kuolewa. Je ni kwamba wanaume hawataki kuoa au wanawake hawataki kuolewa.
Wataalam karibuni.