Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke wangu amepanda cheo kazini. Tangu amepata cheo anaonyesha dharau; amebadilika tabia. Zaidi amekopa benki bila kunitaarifu. Nifanyeje?
1 Reactions
108 Replies
12K Views
za wikend... jamani nimeamua kuandika hili maana ni haki yangu kikatiba kueleza hisia zangu..[emoji16] . Mwenzenu mimi huwa nachanganyikiwa sana nikimuona mwanamke amevalia viatu vya namna...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na Shopping ili kusafisha nyota.. Nani aliyekwambia Usela...
29 Reactions
93 Replies
13K Views
habari zenu wapendwa, kwanza niseme am melancholic yaani nimekuwa naye for two years now, hakuna tatizo lolote kwangu, ila amekuwa akificha makucha ndio nayaona hivi sasa, ana kiburi, ana jeuri...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu kila nikikatisha Mmu naona mada zinazohitaji ushauri kuhusiana na mahusiano yao na wapendwa wao zimekuwa nyingi hasa kipindi hiki. Si jambo baya kuomba ushauri tena kwa watu wanaojua mambo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume waliotitia chini yani (wafupi) au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gubu lake lazima umshindwe. Yaani wana visa, wachoyo, umimi na ubabe sasa na...
17 Reactions
159 Replies
23K Views
Sijawahi Kutumia Marijuana/Cannabis/Weed/Ganja/Bangi/ But nimesikia rumors kuwa Ukinyoga unakua Vizuri sana kwenye Sita kwa Sits Siitangazi but waliowahi kuonja mtupe Ukweli wa hii kitu. Je...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nitakribani Miezi 3 hivi sasa tukiwa ndani ya ndoa na kabla ya hapo tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka mitatu iliyopita wakati tukiwa katika mahusiano nilikuwa nikijaribu kuchungualia...
17 Reactions
319 Replies
33K Views
Wasalaaam.. Hii tabia sijui hua najiendekesha au ndo iko kwenye damu! Yan naweza kurudiana ata na msichana nlikutana nae fom 2 ilimrad npate papuchi! Inatokea naachana na msichana thn no...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau habari zenu,naomba mniambie hapa mwenye kosa ni nani Ni kwamba siku moja nipo kwenye daladala natoka kwenye mishe zangu nkakutana na mtoto kwenye gari nikaomba namba after 2 days nikamtia...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Leo kuna mtu kanitumia video ya binti akicheza wimbo wa yamoto akiwa uchi huku akirekodiwa na mpenzi wake, binti alishtuka akamwambia mpenzi wake anamrekodi jamaa akasema ni kwa ajili yake...
8 Reactions
202 Replies
44K Views
1.Upendo wa dhati 2.Ukweli 3.Uwazi 4.Uaminifu 5.Uvumilivu 6.Msimamo thabiti 7.Mawasiliano N.B: HEKIMA NA BUSARA ndio msingi wa hayo yote. hakikisha upo vizuri katika hayo yote na safari yako ya...
2 Reactions
12 Replies
9K Views
EBU LITAMBUE HILI NA ULIWEKE KICHWANI MWAKO (BABY NUMBER ONE). Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani habari zenu Mimi nina jambo naomba mnisaidie nina miaka 25 mimi ni female nina mpenzi ambaye tunataka kufunga ndoa tatizo yeye mkristo nifanyaje nashindwa kujua kwani naogopa kubadili dini...
2 Reactions
147 Replies
17K Views
Jamani kama ni huzuni imetawala myo wang ni kwann sina anayenipenda na kila ninayetaka kumpenda ananikataa sijui nifanyeje juu ya hili.Maisha yangu yamekuwa kama ya mtu asiye na kitu chochote...
0 Reactions
113 Replies
14K Views
Mimi ni single mum Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
12 Reactions
162 Replies
16K Views
Mwanaume alimzalisha akiwa form two akaishi nae kiunyumba miezi 6 bila Mimi kujua (alinificha) Mimi nikabeba mzigo nikauzalisha nikaishi nao miaka mitano nimeambiwa na wengine kwamba aliishi na...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Maisha haya hayana mwenyewe, Nilikuwa mtu mwenye kujiheshimu sana, kuwashauri watu juu ya matendo mema, niliishi nakujitahidi kuwa mfano wa kuigwa lakini sasa mambo yamegeuka. Tangu utoto na...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau mimi ni kijana mwenye miaka 27 nimemaliza chuo mwaka 2015.. Kuna binti nipo nae katika mahusiano kwa kipindi kirefu na kwa bahati nzuri tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambae kwa...
0 Reactions
128 Replies
12K Views
Kushakuwa na hili tatizo kwa hawa baadhi kaka zetu ,wamekuwa wambea mpaka sisi wanawake tunashangaa ,kiufupi wametuzidi wanawakee,mi nahisi ndio maana wanaume wengi wamekuwa mashoga nadhani kwa...
7 Reactions
194 Replies
20K Views
Back
Top Bottom