Hivi maana halisi ya ndoa ni nini!

Kitalolo.

Senior Member
Sep 10, 2015
189
220
Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
 
Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Ndoa yako ina tatizo gani? tuanzie hapo
 
Vumilia bro....huyo ndio chaguo lako....
Upo kwenye chuo cha msamaha....jitahidi upate shahada ya uvumilivu

Unatamani upewe nafasi tena kuchagua.....?!!!!!
 
lazima mmoja ajishushe ili muende sawa lkn kama kila mtu yupo juu lazima ndoa uione vita
 
Hebu msituondoe kwenye mstari kwa mawazo yenu yawazayo mabaya tuuuu. Ndio maana mabaya yanaambatana nanyi.
Niliona kama utani, ila kwa huu woga wako, nahisi kuna chembe ya ukweli..

Samahani, kwani umeolewa!?
 
Ndoa ni taasisis aliyoiasisi Mungu mwenyewe,,,,, na akaweka misingi ya kuidumisha,,, na ndoo maana alisema,,, sii vyema mtu huyu aishi peke yake,,, nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae,,,,
 
Back
Top Bottom