kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Msaada jamani,
Kuna mama wa kiaribu huwa namuota sana zaidi ya wiki 2 sasa na asubuhi lazima aniangalie kwa mshangao anapopita kwenda dukani kwake, awali nilichukulia kawaida.
Naombeni ushauri ili niepukane na hizo ndoto maana nimekua na mashaka nae.
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app