Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
433
500
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
 
SteveMollel

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
5,610
2,000
Kama kuna kipindi unahitaji utulivu mkubwa, basi ndio huu. Usifanye jambo eti kwa kumlipiza, ama kumliza ama kumuumiza kama wewe alivyokufanyia. Kwani wewe uliyatafuta maumivu hayo uliyo nayo? La hasha, yalikuja kama yatakavyokuja kwake huyo mwanamke.

Waweza ukafanya jambo la kukupa ahueni haraka kwa sasa lakini likaja kukuwinda maisha yako yote kwa kukuzalia mashutumu, mahukumu na majuto.
 
Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
738
1,000
Pole sana, muombe mungu akuondolee hiyo roho ya kisasi; believe me, aside from momentary satisfaction, no good will come out of it. You appear to have already made a great decision,i.e. breaking up with her. So give it some time and all shall be well.
 
Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
433
500
Usiwe kama nanihii kutaka kulipiza visasi. Kama bado unampenda endelea naye vinginevyo hili la kuchangamkia dushe lingine kama huwezi kulivumilia hadi linakuathiri kiasi hiki basi piga chini Mkuu.
Asante mkuu.., ila nahisi kudharauliwa sana ndo maana. ni kama ameona sina cha kumfanya.
 
Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
433
500
Kama kuna kipindi unahitaji utulivu mkubwa, basi ndio huu. Usifanye jambo eti kwa kumlipiza, ama kumliza ama kumuumiza kama wewe alivyokufanyia. Kwani wewe uliyatafuta maumivu hayo uliyo nayo? La hasha, yalikuja kama yatakavyokuja kwake huyo mwanamke.

Waweza ukafanya jambo la kukupa ahueni haraka kwa sasa lakini likaja kukuwinda maisha yako yote kwa kukuzalia mashutumu, mahukumu na majuto.
Asante mkuu kwa busara zako
 
kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
1,001
1,500
we ni mngese sana, ya nini umuonee wiivu mke ambayye kaishazaa? huyo ni cha wote acha wamjohn faru. madem wamejaa anatafuta viruka njia. yaonekana hujui kutongoza unapenda wa bei chee. acha agongwe ata mie ningegongamo kwa raha zangu
 
mkuu unatafuta, hata ww ungefanyaje?
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,549
2,000
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.
Kuchapiwa ni siri ya ndani....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom