bahati godfrey
Member
- Feb 7, 2017
- 11
- 26
Habari zenu,
Mimi ni mgeni humu ndani.
Nina mpenzi wangu nampenda kutokana na tabia zake huwa tunagombana kuna mdada mmoja wanaelekea kwenye mahusiano nikaja kujua tukagombana na yule dada nilikuja kumtukana kwenye simu yakaisha.
Sasa akaja kuniambia ukweli yule dada anamtaka na pesa anazo marafiki zake wamemshauri eti aongee na mimi ili amchune yule dada halafu akipewa hela tunazitumia wote yani mimi na huyu mpenzi wangu mwisho wa siku nilimwambia haitowezekana.
Sasa hapa nimewaza kutokana na maisha magumu sijui nimwambie amkubalie tu ila wasije wakafanya sex mana huyu mwenzangu kipato chake ni cha kawaida.
Naombeni ushauri