Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini ndugu zangu. Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema. Mm yalinikuta hivi: Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu...
14 Reactions
122 Replies
13K Views
Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Upendo wa kweli hupimwa pale Mambo uliyomuona nayo Season 1 yanapobadilika ikifika season 2. Upendo wa kweli hupimwa pale ambapo Hela ulizomkuta nazo wakati mnaanza zinapokwisha na inabidi...
14 Reactions
53 Replies
6K Views
Nisaidieni namna yakukwepa ugomvi wa mara kwa mara ndani ya nyumba,dah mtu ukimuuliza kitu kidogo tu maneno yake majibu yake duh unatamani ardhi ipasuke uingie ndani,wanawake wa kizazi hiki nani...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za jumapili wapendwa....... Bila ya shaka sisi sote Mungu ametujaalia uzima na afya tele.....na wenzetu wengine waliopo kwenye mitihani ya magonjwa Mungu awaponye warudi kama zamani na...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Mpenzi wangu wa zamani kanipigia simu asubuhi akitaka tuonane. Nikamjibu kwamba niko job labda nikitoka. Akanambia nijitahidi leo tuonane na nimemwambia job natoka saa 09:00 alasiri. Nawaza...
4 Reactions
184 Replies
15K Views
Habari za jumapili, Nipo hapa ndugu zangu naomba msaada wenu wa mawazo katika hili... Mimi ni ke na nina mpenzi wangu na ukweli I love him so much lkn ni week ya...
10 Reactions
61 Replies
10K Views
Leo nimepokea simu, namba ngeni, baada ya maongezi, nimekumbuka hiki kisa, nikasema ngoja niwasimulie. Mara ya kwanza kukufanya mapenzi nilifanya na mtoto wa mpangaji. Kipindi hicho nilikuwa nipo...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Naitwa: agness Naishi: tanzania Kabila: msukuma Dini: mkristo(kkkt) Umri: 31 Familia: nina mtt 1 Mazungumzo zaidi njoo inbox SIFA ZA MUME...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
wadau, mi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa sasa kaamua kuokoka na anadai maandiko hayamruhusu kufanya tena upuuzi wa zamani (yaani uasherati). Nimembebeleza na kumwambia kuwa niko tayari...
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja Sijui nn kilitokea nikapata taarifa...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Salaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida. Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni...
19 Reactions
133 Replies
10K Views
Ni siku nyingine tena tuliiiiiivu, twamshukuru tena Mungu wetu kwa uzima, pia mibaraka yake ... Japo mie si mpenzi wa "tattoos" nowadays jambo hilo limezidi kushika kasi hasa kwa wasanii na...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Wasichana wa siku hizi hawafai full kupeana stress mara akupige kizinga, mara atake umtoe out akapate Dinner, mara shopping kwa ajili ya Valentine, sometimes uchi unakua mfuko sio mnato tena, mara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka...
8 Reactions
416 Replies
41K Views
Nimekuwa na mpenzi wangu(mchumba) kwa takribani mwaka sasa, mara nyingi tumekuwa tukikwazana lakini tunasuluhisha na kusonga mbele. Ugomvi mkubwa hasa naweza sema ilikuwa pale alipoambiwa tu...
1 Reactions
86 Replies
15K Views
Inafahamika kwamba wanawake wengi walio katika ndoa huwa ni nadra sana kukuta ana urafiki na wifi zake dada wa mumewe.Tena kama wao mawifi walikuwa na chaguo lao lingine kwa kaka yao yani...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam mama zangu, dada zangu, wenzangu na wadogo zangu! Tumshukuru Mungu kwa kuiona tena siku hii. Nimerudi na uzii huu nia yangu ni kupata uzoefu (experience) kutoka kwenu kuhusiana na maswala...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu nauliza Wangapi mko kwenye mahusiano na mnaruhusu wapenzi wenu kuchat Fb na marafiki wa jinsia tofauti? Kama ni mwanamke unakuta anachat na frd wa kiume anakwambia they are just normal...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom