Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Nimemaliza chuo cha UDOM na sasa ninafanya kazi na shirika fulani na mipango yangu nikuoa mwakani.
sasa nikiwa mwaka wa kwanza mwazoni kabisa niliachana na my first lover (naamini mnaelewa maumivu yake) sikutaka kujihusisha na mahusiano kabisa kwa ajili ya yale maumivu ya kuachana na yule,nikavumilia had mwaka wa pili katikati nikapata dada mrembo na sio siri nikaamini ndiye atakuwa mama watoto,
lakin mwaka wa tatu mwanzoni yy alikuwa ashapata kazi maana alinizid mwaka mmoja wa masomo lkn hata kiumri alinizid mwaka mmoja, akaanza kubadilika na dharau kibao, Niliumia sana ilifika kipind had naangusha chozi kwa ajili yake,na kiukweli sijui ilikuwa ni nini ile hali maana alikuwa akijitahid sana kunifanya niwe na furaha lkn ilishindikana,
Lakini kuna binti mwingine ambaye nilikuwa naye karb sana (tulikuwa naye mwaka wa tatu),kadri siku zilivokwenda uzalendo ukanishinda ikabid niachane nae na baada ya miez kadhaa nikaingia kwenye mahusiano rasmi na yule bint nilye kuwa nae mwaka wa tatu.
mapenzi yakawa moto sana na tumepanga mikakati ya kuona lkn ninaona kama figisu figisu nyingi, hasa heshima inapungua sio kama tulivyokuwa tunaanza mahusiano mpk sometimes nakata tamaa,
hapo hapo yule dada anajileta kias kwamba tangu nimuache Bado anaamin me ndio mume wake maana hajawah kuwa na mwanaume mwingine tofaut na mm, niko njia panda kiukweli.
Wote ni wazuri asikwambie mtu,...NIFANYAJE?