kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 903
Hii tabia baadhi ya wanawake kupendelea kuvaa nguo hizo hizo kila siku, haoni hasara kuvaa nguo kwa wiki nzima, inawezekana ukawa unaisafisha ukitoka kazini lakini bado haipendezi mwanamke kuvaa nguo wiki nzima dah inatia aibu sana, kama unaweza kuvaa nguo za nje wiki nzima chupi utakua unavaa miezi 6 kabisa.
Mfano huyu dada kila siku anapiga mapigo hayo hayo toka nianze kumfahamu, kila siku anapiga gauni nyeusi juu anapiga ushungi wake (habadilishi nguo) maajabu mengine utaona dada kama huyu nae anapanga foleni kwa mchungaji/shehe hapati mchumba, mchumba gani kila siku tunakuona unavaa manguo hubadilishi.
Dada kama na wewe una tabia kama hii badilika haraka sana kabla hujaanza kutafuta mchawi.