STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Unasubiria Jumanne ya Tarehe 14 kwa nguvu sana ILI IWEJE??? Labda
kama ni Anniversary ya penzi lenu(mlikutana siku ya tarehe hiyo), kwamba ni muhimu kuadhimisha..
Wewe penzi lako na mchuchu mmeanza June 12,Valentine inawahusu nini??
Mwaka mzima ulikuwa wapi?
Watu wenye Mapenzi STRONG siku hii ni Jumanne ya kawaida kabisa na wataenda SKYLIGHT tu Thai Village kama hamna kinachoendelea,
ila WEWE na uhusiano wako wa Bagia na Chumvi ndo unataka
Ufufukie Jumanne..
Alafu Alhamis Mzike tena mpaka mwakani. Kwangu mimi Valentine ni kila siku... Nikikuta nguo nzuri ya bebe nanunua nampelekea, hata kama ni
November 19... Nikimmiss namfuata ghetto tunaenda Dinner Capetown Fish Market kula...
Akiona kiatu kizuri ananunua anani-surprise, hata kama ni August 7
Penzi lililokufa halitabustiwa na Valentine Day kamwe... Kama hupendwi hupendwi tu, Penzi halifufuki Jumanne...
Penzi lililojengwa kwenye misingi Imara huenjoy Valentine kila siku..
Narudia tena, Ukiona umepania sana Jumanne ujue Penzi lako lina shida kwa sababu hata LEO inaweza kuwa Valentine yako ukiamua. Penzi la kweli halina tarehe kama Kalenda.
-Stunter-