Nimfanyie nini mpenzi wangu kwenye siku yake ya kuzaliwa?

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
672
habari za wakati huu wakubwa

next week ni siku ya kuzaliwa mbabe wangu mwanaume ninayempenda
natamani nimfanye chochote ajue naijali siku yake hiyo
mimi nipo dar yeye yupo mkoa
naweza fanya nini kwa siku yake hii muhimu

asanteni
Nawasilisha
 
habari za wakati huu wakubwa

next week ni siku ya kuzaliwa mbabe wangu mwanaume ninayempenda
natamani nimfanye chochote ajue naijali siku yake hiyo
mimi nipo day yeye yupo mkoa
naweza fanya nini kwa siku yake hii muhimu

asanteni
Nawasilisha
Safiri umfuate by surprise
 
Mpe kitu atakacho kuwa akikiona anakukumbuka......Nakumbuka nilishanunuliwa Saa simple tu lakin smart...huwa nikivaa nahisi uwepo wa wife popote niendapo maana saa lazima uangalie kila mara...
 
asante ila anazo za kutosha tena za maana siyo hizi za kibongo nikimnunulia za k.koo si itawekwa kabatini tu
 
Back
Top Bottom