Je, kuwa na mpango wa kando ni kwakuwa mke hajui mapenzi?

si kweli, wanaume wanatamani multiples at once na akichepuka sio mkwewe hayuko fiti ila basi tu tamaa za mwili

90% @ kitaa research.com kibongo bongo lakini

Kwa maelezo yako nilitarajia 100% kwasababu uchepukaji wa aina yoyote unasababishwa na wanaume wote kutamani wanawake wengi kwa wakati mmoja.

Ni factor gani zimewqnyima hao aslimia 10 kuchepuka ilihali wote wanatamaa kama hao 90%?

Je wanawake wanaochepuka pasipokuwa na uhusiano wowote wa uchepukaji kwa mmewe kipi kinawasababishia hivyo? ?
 
wengine sio madume kamili na namaanisha wake zao ndio wanafwata mpango wa kando wengine punyeto sana ndio make up ya 10%
 
wengine sio madume kamili na namaanisha wake zao ndio wanafwata mpango wa kando wengine punyeto sana ndio make up ya 10%
Kwa hiyo yeyote kama hataridhika katika mahusiano sio me wala ke ataenda kutafuta mpango wa kando. Hiyo ni summary ya maelezo yako.

Mara ngap unakula chakula kizuri lkn pmbeni unakuwa na soda?

Soda ni kama kiburudisho haimaanishi kuwa msosi unaokula sio mtamu
 
Kuchepuka ni tabia ya mtu ikisaidiwa na tamaa zake ,haina reference yeyote na uzuri wa mwanamke aliyemuoa.
 
Back
Top Bottom