Mwanaume anaweza kumtakia heri mwanaume mwenzie siku ya wapendanao?

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,012
1,955
Wandugu nina swali kidogo,

Hivi mwanaume anaweza kumtakia heri ya siku ya wapendanao mwanaume mwenzake? Yaani akiwa kamlenga yeye kama rafiki yake mzuri e.t.c.
 
Soma history ya siku ya valentine day iliyoasisia na padre valentine, siku hii ni syo maalumu pekee katika watu walio katika mahusiano pekee bali ni sku ya kuonyesha upendo kwa ndugu jamaa marafiki na watu mbalimbali, wenzetu huwaga pia wanaitumia siku hii kuonyesha upendo kwa watoto wa mitaani kwa kuwapelekea vitu mbalimbali na kwa wakimbizi, wagonjwa, wazee wasiojiweza kuwaonyesha upendo ili waone thaman yao bado inathamaniwa duniani kote
 
Inawezekana ila tu uchaguzi wa maneno uzingatiwe sana. Halafu lazima ujumbe ukae kiume yaani usilegeze utaharibu kazi kabisa
 
Back
Top Bottom