Mwenye mapenzi ya kweli karibu

mimadota

Member
Jan 7, 2017
48
108
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
 
Huyu mrembo jana nilimupm hajajibu chochote mpaka leo sasa sijui kama yuko serious!!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
2e4fa3c90576ecf2047e5ef3423c4103.jpg

Sikukatishi tamaa ila punguzeni mahitaji maisha yako mbio sana.
 
Mumy kwanini msi practice tu haya mapenzi ya kawaida duniani kisha mkifika mbinguni ndipo mkayapate hayo ya kweli?
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.

Hizo sifa Za huyo Mwanaume na wew unazo??? Hasahasa hapo kwenye "Ujasiriamali "
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Hatumuoni mtu sasa tunapendezwa na maandishi?
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Je una bikra!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom