joboychali
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 169
- 85
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.
Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.
Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa
Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye
Msaada wenu tafadhari