Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Unaambiwa kuwa uyaone mwanangu.Na kama mademu wataendelea na shobo za aina hii.Biashara ya unga itakuwa ni vita ngumu mno.
Nimekuja kustuka,Kumbe mademu wazuri mjini na bongo movie karibu wote wanaliwa na wauza sembe.
Ni fashion flan,Kama si mzungu wa unga.Hung'oi totoz za ukweli.Wala zile talk of the town.Badilikeni nyie warembo.Si lazima mliwe na wauza ngada.Wapo vijana wenye noti halali.La sivyo mtasababisha vijana wengi kuingia kwenye ngada.Na kuifanya vita iwe ngumu.Ili nao wawaonje tu!Ni mtazamo.