Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi wewe Mwanaume unajiuliza,HADI HILI AMENISAMEHE,INAWEZEKANAJE! Kama kuna...
21 Reactions
130 Replies
19K Views
Ben ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne, ana dada mmoja na kaka wawili. Akiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika akisomea BA Hons Architecture katika chuo kikuu cha Makerere...
13 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za mida hii wana JamiiForum
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Happy woman day! Wana Jf pamoja na ubize wa kudai vyeti vya Bwana Daudi lakini tusisahaau Leo ni siku ya wanawake. Naamini kila mtu humu ana mwanamke wake wanguvu, yaani mwanamke ambaye ni mtu...
11 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za siku nyingi wana JF, Nimekua nje ya hadhira kwa siku nyingi hadi nimehofia kutumbukizwa katika orodha ya R.I.P. members. Baada ya salamu hizo napenda niwakilishe ninachokiona katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari humu ndani, Hivi katika nchi kama Tanzania kwa mzinifu aliyeolewa/ kuoa na ambaye hajaoa/ hajaolewa katika sheria ya kiislam inaweza kutumika? Kama siyo dhambi itasamehewa kwa kutubu 2...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini wakuu, I trust you are all okay! Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Msichana anakuzwa na baba yake msukuma lakini ukubwani anolewa na mnyiramba wa Singida. Watoto wa ndoa hii tunasema ni wanyiramba na si wasukuma yaani kabila la baba. Sasa mama humo ndani ya ndoa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo kama tujuavyo ni siku ya wanawake duniani ambayo ni 8 machi,2017 kauli mbiu "NAMTHAMINI MWANAMKE". Kwa Mimi " SIMTHAMINI MWANAMKE" kwa sababu. 1.Zaidi ya asilimia 70 ya watumiaji wa dawa za...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Sabalkheri wapendwa, wengine poleni na mfungo wa Kwaresima. Leo nina ki story cha shost Jacquieline lakini nitamkatisha Jacq katika story hii maana mpaka nimalize kuandika jina lote itakuwa...
12 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu,,ni kijana ambaye sijaoa,mara nyingi nkikutana na mwanamke mwenye kamwonekano lazima nimtamani na kupelekea kuwa na tamaa ya kutamani nikampe dozi,,imekua ikinitokea hali hiyo hata kama...
2 Reactions
121 Replies
11K Views
NDOA SIO MCHEZO SOMA STORY HII. "Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu. "Mke wangu amekufa? Nini kimetokea? Amekufaje?" Daniel aliuliza huku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
USITISHWE NA HISTORIA... Historia ina athari mbaya kwenye mahusiano. Unaweza kuogopa kuanzisha mahusiano kwa sababu ya mikasa uliyowahi kukutana nayo. Unajikuta ukichukua tahadhari nyingi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wanafamilia wa jf?? Matumaini yangu ni wazima wa afya njema... Ndugu yenu nahisi nime athirika kisaikolojia kutokana na mambo niliyo yapitia.. Tangu mwanamke nilie mpenda kwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
mpenzi nilienae simpendi na yeye anataka kunioa nifanyaje simpendi kabisa yani....msaada
3 Reactions
312 Replies
22K Views
SHERIA YA NDOA NA TALAKA 7.0 HAKI ZA MWANAMKE KATIKA NDOA 7.1 Usawa Sheria ya ndoa katika kifungu cha 56 inatamka bayana kwamba mwanamke aliyeolewa ana haki sawa katika kupata, kumiliki na...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Hapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Eeeeeee jamani jamani kha kama na wewe upo humu ukome, mara ef 10, kesho mwingine efu 30 mara efu 60 , leo ef 25, mwingine nikopeshe lak2, jamani hata ATM wakati mwingine inaishiwa hela, kaeni...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Halow wadau... Nina mtu wangu nimedumu nae kwa miaka 4.. na tunapendana sana.. ila hajashika dini na mimi nataka mwanamke mcha Mungu.. nikioa mwingine nitakua nimefanya kosa?
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari wakuu, Mtu anaweka wazo kupata ushauri au kupata ideas za watu inamaana hana akili ya kufikiri mwenyewe? "Kunawatu wanaimani tofauti na hili tusaidiane hapa .."greatthinkers'
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom