Mimi ni kijana wa miaka 23 huwa naskia maumivu wakati wa kukojoa Na pia huwa natokwa Na Usaa sehemu za siri naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone
Poleni na majukumu ya kulea watoto
Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has...
Habari ndugu zangu...wanaJf
Hivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje?
Mrejesho Part2: Nikimwambia nampenda atanichukuliaje?
Leo nimeamua niwaleteeni mrejesho wa tatu...
Kama mnakumbuka...
1. Anakuwa mwenye hasira.
2. Papara za kimaamuzi.
3. Anafikiria kuwa anafanya hisani hata kwa majukumu yake.
4. Kupokea ushauri kwake huona kama kujidharirisha.
5. Anapenda kusifiwa hata kwa...
Habari za jioni wana JamiiForums.
Leo nawiwa kuongea na wanawake wenzangu juu ya hili suala la vitambi vyetu na vya waume zetu. Nilikuwa nimekaa napiga story na mume wangu mara akanikumbusha...
Habari wakuu
Tukumbushane kidogo vijimbinu tulivotumia kupata wapenzi tulio nao,ikibidi na sehemu uliyomuona siku ya kwanza.
Mimi wa kwangu nili.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] A level
Ni siku kadhaa zimepita tangia nikutane na msichana huyo. Cha ajabu sikumpa namba yangu ila aliomba kwa mshikaji wangu akapewa na demu akaanza kunitafuta na kuanza kuniita mpenzi, nilishangaa...
Ni Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliyefall in Love
na mwili wako na sio moyo wako kuliko
kumtambua MZee wa Kichaga kwa pozi lake la
kutembea, suruali zake za kushonesha, miguu
myembamba na gari...
Chagua Mwanaume sahihi kwa nafasi sahih lasivyo utabaki unashangaa kwann haupati jawabu japo ushawachagua weng!..Mschana1 hata akitembee na wanaume4 hawez pata mimba ya wanaume4 lakin mwanaume1...
Naitwa obed Frederick, nahitaji msichana alie tayari kuwa na mimi hatimae tuweze kupanga maisha mimi ni mwajiriwa serikalini vigezo kwa mwanamke awe anapenda ibada awe mwalimu au nurse.
If...
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe...
Bhandugu Yaani hizi haki Za mjamzito zimenichekesha Mno.......
HAKI 7 ZA MAMA MJAMZITO.
1. Mama mjamzito ana haki ya kupishwa akae, hata kama amechelewa kufika eneo la tukio, na nyie wengine...
Wakuu kweli Uswahili kuna vitukooo...,Yaani ni bandika bandua.
Leo nilikuwa kwenye jopo la kusuruhisha mgogoro wa jamaa kutaka kupigwa mapanga kwa kudhaniwa tu ni mpiga chabo.
Huyu jamaa ni...
Wadau nilikua natoka na demu ambaye ni mke wa jamaa mmoja hivi katika kuchat chat demu kashtukiwa na bwanaake. visa vikaanza ugomvi wa mke na mume ukapamba Moto ,
nikamwambia huyo mwanamke...
*Jinsi ya kupata mpenzi bora*
*1_ lazima na wewe uwe bora kwanza*
*2_ lazima na wewe ujiheshimu*
*3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!*
*4_ ukitaka msomi akikisha na...
Kuna story behind this but kama wanavyotupa sisi ela na kutuhonga muda mwingine vitu mbalimbali wewe kama wewe mpenzi wako kaja kwako muda wa kuondoka ukampa hela just ya nauli au vyovyote but hey...
Men have always had mistresses!
Historically, mistresses were kept by men of power and influence, like kings and rich merchants. This 'tradition' has continued to date and the men are known to...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haina ubishi money cant buy you happiness but it surely as hell it can guarantee you protection against some forms of unhappiness...
Ninaishi na binti mmoja ambaye imani zetu ni tofauti, yaan yeye ni muisilam na mimi ni mkristo. Tumeishi sasa yapasa miaka 3 na tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Tulikua tumepanga chumba kimoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.